Asante sana mkuu. Nimejaribu ku restart lakini inashindikana. Labda nijaribu kupiga windowsUkiclick restart inaanza tena kurepair? Kama ndiyo kuna shida ya windows but sometime huwa inasababishwa na Hard Drive kuanza kupoteza uwezo. Hivo ushauri wa kwanza click restart ikiwaka hivohivo piga windows ukiona inachelewa sana kufanya maamuzi wakati unapiga windows ujue Hard Disk yako inaenda mwisho hivo itakupasa ubadilishe Hard Disk yako.
Ukipiga windows itasolve ila ushauri hangaika nayo kwanza kuna mambo mengi hujajaribu.Asante sana mkuu. Nimejaribu ku restart lakini inashindikana. Labda nijaribu kupiga windows
Zingatia pia ushauri wa coment ya 3 japo kama ingekuwa ipo kwenye UEFI na sasa hipo kwenge Legacy basi windows isiongenekana zaidi ingekuambia No bootable device but binafsi ninaamini Hard Disk itakuwa imeanza shida.Asante sana mkuu. Nimejaribu ku restart lakini inashindikana. Labda nijaribu kupiga windows
Nimejaribu lakini imeshindikana .. labda nijaribu kupiga windows tuUkipiga windows itasolve ila ushauri hangaika nayo kwanza kuna mambo mengi hujajaribu.
1. Jaribu ku boot na safe mode
2. Jaribu system restore
3.jaribu kuingia bios weka uefi na legacy kwenye boot options.
Pia windows piga bila kuiformat incase unataka data zako zibaki.
Nimejaribu lakini imeshindikana. Hakuna njia ya kutengeneza hard disk just for temporary?Zingatia pia ushauri wa coment ya 3 japo kama ingekuwa ipo kwenye UEFI na sasa hipo kwenge Legacy basi windows isiongenekana zaidi ingekuambia No bootable device but binafsi ninaamini Hard Disk itakuwa imeanza shida.
Hizo huwa zina life time (Health) ukiona hivyo ujue inaenda ukingoni kwa hapo unaweza kuitumia kama external mkuu lakini nunua tu hdd nyingine kwa Tsh ngapi?Nimejaribu lakini imeshindikana. Hakuna njia ya kutengeneza hard disk just for temporary?
We bwana unachoongea hakihusiani na hapo hilo tatizoHizo huwa zina life time (Health) ukiona hivyo ujue inaenda ukingoni kwa hapo unaweza kuitumia kama external mkuu lakini nunua tu hdd nyingine kwa Tsh ngapi?
160 Gb - 20,000/=
250Gb- 25,000/=
320 Gb- 30,000/=
500 Gb- 60,000/=
1000 Gb- 100,000/=-90,000/=
We bwana unachoongea hakihusiani na hapo hilo tatizo
Hilo tatizo la stop error
linaweza sababishwa na Driver baada window kujiupdate au kuinstall software ambayo ili change file muhimu ya window au ilipigwa rungu na window deffender n
Au suddenly PC ikastuck akalazimisha kuzima kwa kuhold power burton nk
Kama hearth ingeshuka kufikia 5% au remaining day 0 day
Basi Ingekuwa SMART HDD na angepewa warning tangu anatumia
Hvyo basi usimuongopee mwenzio
Hapo kama itashindikana AUTOMATICK REPEAL
Afanye restored
Ikishindikana afanye full RESETE mashine inapona bira kuwek window upya
Asante Sana mkuuHizo huwa zina life time (Health) ukiona hivyo ujue inaenda ukingoni kwa hapo unaweza kuitumia kama external mkuu lakini nunua tu hdd nyingine kwa Tsh ngapi?
160 Gb - 20,000/=
250Gb- 25,000/=
320 Gb- 30,000/=
500 Gb- 60,000/=
1000 Gb- 100,000/=-90,000/=
Asante sana mkuu.. full reset niifanye Kama option ya mwisho si ndiyo? Huwa inaclear kila kitu?We bwana unachoongea hakihusiani na hapo hilo tatizo
Hilo tatizo la stop error
linaweza sababishwa na Driver baada window kujiupdate au kuinstall software ambayo ili change file muhimu ya window au ilipigwa rungu na window deffender n
Au suddenly PC ikastuck akalazimisha kuzima kwa kuhold power burton nk
Kama hearth ingeshuka kufikia 5% au remaining day 0 day
Basi Ingekuwa SMART HDD na angepewa warning tangu anatumia
Hvyo basi usimuongopee mwenzio
Hapo kama itashindikana AUTOMATICK REPEAL
Afanye restored
Ikishindikana afanye full RESETE mashine inapona bira kuwek window upya
Unachagua either data zibaki au ndo upige full resetAsante sana mkuu.. full reset niifanye Kama option ya mwisho si ndiyo? Huwa inaclear kila kitu?
Hivi kufanya full reseting ya windows kuna tofauti gani na kuweka windows nyingine? Kama amesema umejaribu kashindwa ata kuweka windows ukitaka nimshauri afanye nini? Alafu message ya error ya HDD sio kila pc inaweza toa automatic may be HP inaweza toa hiyo error pale unapowasha ila hiyo dell.We bwana unachoongea hakihusiani na hapo hilo tatizo
Hilo tatizo la stop error
linaweza sababishwa na Driver baada window kujiupdate au kuinstall software ambayo ili change file muhimu ya window au ilipigwa rungu na window deffender n
Au suddenly PC ikastuck akalazimisha kuzima kwa kuhold power burton nk
Kama hearth ingeshuka kufikia 5% au remaining day 0 day
Basi Ingekuwa SMART HDD na angepewa warning tangu anatumia
Hvyo basi usimuongopee mwenzio
Hapo kama itashindikana AUTOMATICK REPEAL
Afanye restored
Ikishindikana afanye full RESETE mashine inapona bira kuwek window upya
Hivi kufanya full reseting ya windows kuna tofauti gani na kuweka windows nyingine? Kama amesema umejaribu kashindwa ata kuweka windows ukitaka nimshauri afanye nini? Alafu message ya error ya HDD sio kila pc inaweza toa automatic may be HP inaweza toa hiyo error pale unapowasha ila hiyo dell.
Sawa Engineer lakini hiyo msg ulioattach sio sio lazima itokee automatic kwenye pc na nimekuambia hakuna tofauti ya kureset windows na kuinstal windows upya iwe anataka data zibaki au aclear evely thinks.Bado unaendelea kubisha kitu usichofahamu
Ni vema ukajifunza kwa wengne kuliko kubisha usichokijua
Kwa comment yako inadhiirisha bado unajifunza
Hvyo endelea kujifunza zaidi kupitia hapa JF
Kwa hiyo hii warning message huwa inatokea kwa HP tu dell na zingine haitokei
kabisaView attachment 1851464View attachment 1851465
mkubwa kuna HP yangu ya nyumba jana nimezima vizuri lakini leo haitaki kuwaka nimefungua lakini haitaki bado kuwakSawa Engineer lakini hiyo msg ulioattach sio sio lazima itokee automatic kwenye pc na nimekuambia hakuna tofauti ya kureset windows na kuinstal windows upya iwe anataka data zibaki au aclear evely thinks.
Unaweza kuipiga picha ukaiweka hapa? Na je umejaribu kuplug in adapter chaji inaingiza?mkubwa kuna HP yangu ya nyumba jana nimezima vizuri lakini leo haitaki kuwaka nimefungua lakini haitaki bado kuwak