Msaada wakuu kuhusu mirathi

Imepangishwa kodi anachukua yeye
Hapo ndio shida ilipo kumbe basi. Anza kuongea na ndugu wengine na tegemea pande mbili, wapo watakaokuunga mkono na wapo watakaosema baba mdogo kakutunza maisha yote sasa unamgeuka unaona hafai, usijali, muhimu we pambana unavyoona inakufaa. Kama ukiamua kwenda front jua vita haitakuwa kati yako na baba mdogo itakuwa kati ya ndugu na ndugu. Muhimu simamia kwa kile unachokiona kinafaa kwako
 
Kama unaishi kwake hama kwanza...halafu umwambie unataka ukaishi kwenye nyumba yenu sasa...
 
Back
Top Bottom