wakuja town
JF-Expert Member
- Oct 26, 2020
- 898
- 1,342
Habari wakuu, nililetaga humu uzi kuomba kusaidiwa namna ya kupata subtitles kwenye series na movies mpk sasa sijapata solution, je kuna app ya movies na series ya namna hyo? Kuna uzi flan mwana mmoja akapendekez app inaitwa cinehub for Android mwanzo ilikubali na ni nzr bt ghafla ikagoma, nisaidiwe tafathali, natumia simu.