Inaonekana mwaka Jana for academic year 2020/2021 uli comfirm chuo fulani na haujaenda kureport.Msaada wakuu jinsi ya kusolve ili tatizo ukiwa unafanya application ya chuo View attachment 1951470
Njoo usome muongozoMsaada wakuu jinsi ya kusolve ili tatizo ukiwa unafanya application ya chuo View attachment 1951470
Soma comment ya Mbagala stendiMwongozo UPI mkuu nielekeze
Vizur mkuu nadhani atakuw amekuelewaInaonekana mwaka Jana for academic year 2020/2021 uli comfirm chuo fulani na haujaenda kureport.
Ingia tovuti ya TCU ka download form iitwayo re application form then i-print ijaze ipeleke TCU wataku clear admission yako ndipo utaweza kuomba chuo tena.
Kila laheri mkuu.
Nimemuelewa nishalifanyia kazi mkuuSoma comment ya Mbagala stendi