Msaada wakuu driver installation Dell Inspiron 3521

Option ingine aende kwa manufact website search drivers kwa kuweka systm details za pc yako hapo utapate genuine drivers free.
Mkuu hizo hizo za dell zimegoma kuingia zinaleta hiyo picha nlo upload mwanzoni hapo
 
hiyo imekaa kama software ya kudownloadia drivers na sio driver yenyewe,

1. ingia hii link

2. chagua manual download drivers na sio hio automatic
View attachment 1732935
3. chagua windows yako, sort drivers za network zitakuja kama 4 hivi, download inayokuhusu, ni file kubwa around 100mb
View attachment 1732937
tena nikiingia hapo sioni kabisa model ya pc yangu
Screenshot (8).png
nikijaribu kuisearch inakuja kama hivyo kwenye screenshot
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom