Msaada wakuu charges za bandarini kuingiza gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wakuu charges za bandarini kuingiza gari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gamaha, Aug 31, 2010.

 1. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,694
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  wakuu katika juhudi za kukwepa daladala nimeagizia gari ndogo sedan ya mwaka 2001.

  nataka kujua viwango vya charges mbalimbali kama

  (1) Shipping line charges

  (2) Registration charges

  (3) port charges

  ...... charges zingine zilizopo pls nisaidieni agent wangu amekuwa si mwaminifu kila kitu anaweka bei mara mbili
   
 2. K

  Korosho Senior Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 132
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Shipping line charges = USD 80
  Registraion fees = Tsh 300K . See the splits hereunder:
  i. New registration Tsh 150K
  ii.Road licence Tsh 150K (depending on CC e.g. 150K is for 1501 - 2500 CC)
  Port charges = USD 100 - 150 (depending on volume of your vehicle and if at all it has been cleared within the graceful period of 7 days. If cleared in more than 7 days other charges such port storing charge come into effect)


  be careful na agents...wamekuwa si waaminifu siku hizi.
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Jamaa ameshindwa kukugongea japo ka'SENKS'
   
 4. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,694
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  ha ha mkuu nilikuwa nimetoka kidogo nimeisha gonga duh uko shap sana
   
 5. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,694
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Thank kaka nadhani itanisaidia kumbana huyu jamaa naona ameona mimi ni shamba la bibi. kila cost kaweka karibia mara mbili i hate this guy.
   
 6. Wa mmoja

  Wa mmoja Member

  #6
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Isije ikawa we ndo unataka kupiga pande...ha ha ha haaa...!
  Anyway,mbane asikwibe!as long as ushapewa data za kukusaidia...
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Sasa wewe umejuaje kama ameweka bei mara mbili?? Hahaaaaaaaaaaaaaaaa Mie naona kama unajua kila kitu vile!!!
   
 8. Kite Munganga

  Kite Munganga JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2010
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,298
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Ni PM nikupe agent mwaminifu na utaongea naye wewe mwenyewe
   
 9. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pamoja na Ushauri uliokwisha pewa tembelea web site ya GariYangu.com
  Utapata calculator ya gharama za kuingiza gari hizo.
   
 10. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,694
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Sasa wewe umejuaje kama ameweka bei mara mbili?? Hahaaaaaaaaaaaaaaaa Mie naona kama unajua kila kitu vile!!

  nilijua kwa kuuliza haraka kwa wengine lkn nikaona nikiweka jamvni waungwana mtanisaidia
   
 11. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,694
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Ni PM nikupe agent mwaminifu na utaongea naye wewe mwenyewe
  Mkuu tayari huyu agent ameisha ianza hii kazi na ndo anaimaliza ila ni jambazi wa maneno duh sina ham
   
Loading...