Msaada wakuu anawezakutuunganishia wateja wa kuku wa nyama hapa dar

Pendaelli

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
8,917
23,236
Nawatakia kila jema wakuu, tuna kuku wa nyama hapa bunju wako na umri wa wiki tano saa tunatafuta wateja kwa bei ya 6000 mpaka 5800. Kuku wapo 450.
IMG_20181123_110501.jpeg
IMG_20181123_110329.jpeg
IMG_20181123_110525.jpeg
 
Tafuta tenda kwenye mahotel,shule..wauza chips na migahawa
Ukipata order fanyia kazi
Usisahau watu wa huduma ya catering
Kila wiki kuku kibao wanapika
 
Kuku wakiwa na wiki 3 tu anza kutafuta mteja au hata Dalali kama ana bei nzur vingnevyo watakula faida ndugu na hatimae mtaji
 
Tafuta tenda kwenye mahotel,shule..wauza chips na migahawa
Ukipata order fanyia kazi
Usisahau watu wa huduma ya catering
Kila wiki kuku kibao wanapika
Asante ndugu yangu kuna mteja alikua ikichukua kwa sasa anadharura hafanyi kazi bahati mbaya sikua na mteja mwingine.
 
Kuku wakiwa na wiki 3 tu anza kutafuta mteja au hata Dalali kama ana bei nzur vingnevyo watakula faida ndugu na hatimae mtaji
Ni kweli mkuu sasa hivi wanakula faida ila si muda mrefu watakula mtaji sasa, kuna mtu nilikua namtegemea ila alipata dharura hafanyi biashara sasa ndio maana imetokea hivyo.
 
Ni kweli mkuu sasa hivi wanakula faida ila si muda mrefu watakula mtaji sasa, kuna mtu nilikua namtegemea ila alipata dharura hafanyi biashara sasa ndio maana imetokea hivyo.
Aisee polee sanaa...
 
Shekilango Vip umeulizia pale maana wenzako kila siku alfajili wanashusha mzigo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom