the great wizard
JF-Expert Member
- Dec 21, 2015
- 1,482
- 882
200K
200K
Mkuu nataka kuinunua hii baadae ninunue na gpu kama mlivyonishauri ......naomben ushauri wenu wa mwishoNipo Dom city
550k
njoo inbox nikuuzie mashine yangu bei poa tuuMkuu nataka kuinunua hii baadae ninunue na gpu kama mlivyonishauri ......naomben ushauri wenu wa mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahan mkuu tayar nimenunuanjoo inbox nikuuzie mashine yangu bei poa tuu
poa card ushanunua
Una mashine gani wizardnjoo inbox nikuuzie mashine yangu bei poa tuu
HP 8200 cmtUna mashine gani wizard
Mkuu kwenye gpu kuna vitu vya kuangalia kama hivi.
Mkuu kwema...nataka niagize hii geforce gtx 750tiMkuu kwenye gpu kuna vitu vya kuangalia kama hivi.
1. Power supply ya desktop inabidi iwe na uwezo wa kuendesha hio gpu, mara nyingi 400watts ni minimum ila desktop zetu zinazouzwa huku ni za oems na zina psu ndogo sana 280w ama 300w. Hivyo utahitaji gpu inayokula umeme kidogo kama hio 750ti ama Amd RX550.
2. Gpu iwe low profile, Gpu za namna hii zinakuwa ndogo na kukubali kuingia kwenye desktop ndogo pia, na vile vile hazihitaji umeme kutoka kwenye power supply moja kwa moja, ukichomeka tu kwenye motherboard inachukulia umeme humo. Hizi desktop zetu nyingi hazina waya wa psu kwenda gpu ama kitu chengine cha kuchomeka kwenye PCI
Kwa uelewa wangu itakubali ila kuna mambo uyafahamu.Mkuu kwema...nataka niagize hii geforce gtx 750ti
Kwa vigezo ulivyosema kulingana na computer yangu hii si inakidhi.....msaada tafadhari kabla sijaagizaView attachment 1098195
Shukrani sana...na kwenye ddr3 na ddr5 zinatofautiana computer na computer au zinaingiliana? Na kama zinatofautiana unaangaliaje kwenye computer kujua kama ni ddr3 au ddr 5?Kwa uelewa wangu itakubali ila kuna mambo uyafahamu.
1. Kuna gpu ndefu na fupi
2. Kuna gpu za kawaida na low profile.
Ukinunua tu random 750ti inaweza isitoshe kwenye hio desktop ambayo ni ndogo kiumbo, hivyo utahitaji ambayo ni low profile.
Bahati mbaya jamaa zetu wa Aliexpress hawasemi vitu kama hivi. Hivyo ni vyema kuwasiliana na muuzaji akuhakikishie.
Mkuu kwenye computer bado hatujafika ddr5 latest ni ddr4. Na ddr4 zilianzia gen ya 6 kwa intel (gen ya 6 ndio mapito kuna za ddr4 na ddr3). Gen za nyuma zinatumia 3 mfano hiyo ya kwako, kwa amd zimeanzia ryzen series, na kwa simu zinatumika kwenye snapdragon/exynos highend series.Shukrani sana...na kwenye ddr3 na ddr5 zinatofautiana computer na computer au zinaingiliana? Na kama zinatofautiana unaangaliaje kwenye computer kujua kama ni ddr3 au ddr 5?
ShukraniMkuu kwenye computer bado hatujafika ddr5 latest ni ddr4. Na ddr4 zilianzia gen ya 6 kwa intel (gen ya 6 ndio mapito kuna za ddr4 na ddr3). Gen za nyuma zinatumia 3 mfano hiyo ya kwako, kwa amd zimeanzia ryzen series, na kwa simu zinatumika kwenye snapdragon/exynos highend series.
Ila kwenye gpu zipo Gddr5 ambazo zinatumika kwenye gpu ya kisasa. Na gpu za bei rahisi zinatumia ddr3.