Msaada: Wajuzi wa computer

publito

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
551
616
Kwa wale wanaojua vizuri computer hasa specification hii mnaionaje? Je ni nzuri upande wa speed, graphics na uwezo wa kusukuma pc games kubwa , hii mnaionaje kwa kulinganisha na gharama zake
Screenshot_20190124-084626.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wanaojua vizuri computer hasa specification hii mnaionaje? Je ni nzuri upande wa speed, graphics na uwezo wa kusukuma pc games kubwa, graphic design nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wanaojua vizuri computer hasa specification hii mnaionaje? Je ni nzuri upande wa speed, graphics na uwezo wa kusukuma pc games kubwa , hii mnaionaje kwa kulinganisha na gharama zakeView attachment 1003331

Sent using Jamii Forums mobile app
usinunue hiyo hutoweza kuweka graphics card kubwa sababu hiyo ni SFF yani small form factor but kuna gpu ndogo ndogo kama amd radeon 7570 1gb gddr5 zinaingia pia vi gpu vya zotac vinaingia pia gpu za Pny zinaingia
lakini ipo fresh ni i5 3rd gen kama sio serious gaming chukua hiyo
 
Asante kwa ushauri, sasa unanishauri nitafute tofauti na hiyo sasa upande wa gharama si itakuwa kubwa sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usinunue hiyo hutoweza kuweka graphics card kubwa sababu hiyo ni SFF yani small form factor but kuna gpu ndogo ndogo kama amd radeon 7570 1gb gddr5 zinaingia pia vi gpu vya zotac vinaingia pia gpu za Pny zinaingia
lakini ipo fresh ni i5 3rd gen kama sio serious gaming chukua hiyo
Mfano kama gta5 yaweza cheza kwa hii pc kwa low setting?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iyo mashine ukiweka gpu(nvidia) haitaingia, inabidi utafute case nyingine pana zaidi, au ufungue cover iwe inakaa wazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom