Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

acha kukalili nani kasema Mimi ninduguyake? Mimi nimtoto ake sio ndugu yake soma vizur. Nina haki ya kulisi kama hao watoto wengine alio walisisha
Huna haki ya kurithi wasikudanganye, sheria ya mirathi ipo wazi mtoto wa nje mpaka 'wakuasili' ndo ungekuwa na haki.
Ila kwa namna ulivyoandika kwa chuki ni dhahiri mama yako alishalikoroga na kuharibu uhusiano wako na babako. Pambana na maisha yako utarithi vya mama yako.
 
Tufanye baba yako angekuwa hohehahe kabisa ungemdai nini?
Tafuta vyako acha kuwa na akili mgando
 
Pole. Achana na mpango wa kushitaki.

Mpaka umeweza kununua simu na kujisajili JF na kuleta thread, ina maanisha kuwa umekuwa mkubwa na unaweza kujitafutia kipato.

Washukuru wazazi wako, usimlaumu baba maana hujui kilitokea nini akaachana na Mama yako.

Pia huwezi kujua mchango wa mama wa kambo katika mali alizochuma na Baba yako.

Baba katumia busara sana kutokukupa urithi maana mali nyingi zimechumwa na Mama wa kambo na au mama wa kambo ana mchango mkubwa sana katika kuchuma.

Kushitaki Ni haki yako ila itakuumiza maisha yako yote maana Kwanza ni gharama za fedha na muda kufungua kesi.

Tafuta kazi, jitegemee, samehe mara sabini.
Dah umemshauri vyema sana, niseme tu UBARIKIWE SANA NDG, UMENIKONGA MOYO MNO
 
nimesamehe mkuu ndio maana niliamua kuwachia hao alio wandikisha kwenye ulisi Mali zote ila Mimi nilimuomba mtaji kidogo2 hata wa boda used maana saiz nipo2 sina kaz yoyote napo kagoma

Urithi ni kupenda na siyo haki. Baba yako anaweza kuachia mali zake zote Msikiti au Kanisa. Tafuta zako dogo. Utakujajivuna na kufurahi utakapopata za kwako mwenyewe. Achana na maneno kama "mimi siyo mtoto waeke"? Huenda siyo. Siku zote mzazi mwenye hakika mtoto ni wake ni mama tu. Baba anaweza kuwa na watoto 10 bila hata mmoja kuwa wake.
 
Urithi ni kupenda na siyo haki. Baba yako anaweza kuachia mali zake zote Msikiti au Kanisa. Tafuta zako dogo. Utakujajivuna na kufurahi utakapopata za kwako mwenyewe. Achana na maneno kama "mimi siyo mtoto waeke"? Huenda siyo. Siku zote mzazi mwenye hakika mtoto ni wake ni mama tu. Baba anaweza kuwa na watoto 10 bila hata mmoja kuwa wake.
Alafu dogo hajui Nini maana ya Urithi!! Kama mwenye Mali bado yuko hai Dogo hana chake,hata akienda Mahakamani Baba yake hawezi amrishwa ampe Mali zake,maana Kesha kua over 18 anahesabika na yeye ni mtu Mzima anaweza akajitegemea na haijalishi hata Kama huyo Baba hakumlea huyo mtoto!!
 
kwani hao alio walisisha alitafuta nao au umeandika2 ilimlad nawewe uonekane umechangia
sorry unajuaje kama ni baba yako wa ukweli? HUJUI SASA HANGAIKA UMPATE AKUPE URITHI VINGINEVO UJE HAPA NA VIELELEZO VISIVYO NA SHAKA KAMA DNA WATU WAKUSAIDIE. pili hiyo pensheni kakuambia nani inatakiwa kugawana na mtu mwingine au kugawa? anajua matumizi yake yeye mwenyewe. HIKI KITU CHA KUFUATILIA PENSHENI ALIYOPATA MZAZI SIJUI NANI ALIWAELEZA WATU WA NCHI HII KUWA INAGAWIWA WATU. NI YAKE BINAFSI ANATAKIWA AIPANGIE NA KUITUMIA KWA MAKINI IMSAIDIE UZEENI. Ukizeeka watoto hutwaona watakuwa huko na wake na watoto wao.
 
Back
Top Bottom