Msaada wajumbe: Nataka nimshitaki Baba yangu mzazi, sheria ipi nitumie?

Akili za ki utopolo topolo
Kama Vijana wasomi pamoja na madgr yao tena miaka mpaka zaidi ya 28, na wanawazazi , kucha kutwa, wanaipigia kelele serikali ..ohoooo haiajiri ohooo nn...

Sembuse huyu kijana wa miaka 24 wenda elimu hana, nabado Baba alimtekeleza ???

Huo ujinga ni wa wababa wapumbavu.

Dogo akomae naye mpaka kieleweke. Masuala ya Kumuachaa mara mpotezee ilihali Baba jina hakuhusika hata kumsomesha, nn??? .

yaaan mwisho wa siku ajiingizie kwa mambo ya hovyo sababu ya mzee wake???..

Km umemsoma vema, huyu Dogo ana akili iliyokua vzuri na anajua nn anatafuta, afanyeje???? .

Utasema oooooh akomae tu..akomae wapi??? Kwenye nn??? Kitu gan???na anaanzaje ????? .

Ohooo kilimo..ohooo fundi ujenzi ohoooo magari ohooo nn????

Ukipewa akili itumie, alopewa nguvu aitumie pia.
 
Urisi au ulisi
Mkuu wwe huna Shea hapo kwani menye mali ana haki ya kumpa na kumnyima yeyote urisi wake
ndio mkuu nimekubal kuwa Mimi sina shea lakin nihak kwel Mimi ninyiwe hata mtaji wa boda bod kwel akat naona watoto wengine wanapewa nyumba wengine magar
 
Uza hiyo simu yako unayotumia Anza kufuga Kuku Ni fanya biashara ndogondogo ili badaye na wewe watoto wako wasije kukushitaki Kama ambavyo unataka kufanya.
Mnasemaga utadhan ni rahisi.

Kalime..kafuge kuku.

Ingekua ivo wasomi wanaolilia ajira, wangekua wanamiliki kuku milion 100
 
Kwa kutaka kumshtaki una maana gani kama si kumlazimisha?
kinacho nifanya nishitak sio kunyima nihak mkuu watoto wengine kawapa magar wengine nyumba lakin Mimi kaninyima hata mtaji wa boda boda akat anajua mwanae sina kaz yoyote ya kufanya
 
Msindikize mkuu akishinda kesi atakugawia madorali atakayopewa na mzee wake
Mimi na maisha yangu yalojitosheleza ., kwasasasa ni kuyapakaa rangi tu.

Baba yangu hakua kama huyo Mzee mpuuzi wa dogo .

Kwa iyo, Nmeandika kwa namna moja , kumtia Nguvu kwaajili ya kufikia anachotarajia.

Muwe mnavaa viatu, ndo mtagundua kuna watu wanapitia magumu.
 
Kwaio wewe miaka yote io mpaka umefikia umri wa kuandika huu uzi apa ulikua una subiria utusue kupitia urithi sio?
sio kuwa nilikaa2 miaka yote kuna Sehem nilishikiza2 ila now hiyo sehem hapo ndio maana nikamuomba mzee chochote namimi ili nijishikize tena
 
' a bustard child'
Kitanda hajui kinazaa haramu, kapotoshwa na mamake na huko vijiweni..

Babake kishajua huyu atasumbua watoto wake halali, so inavyoonekana, kama ni majumba, mashamba, viwanja, assets kawaandikisha watoto na mkewe, huyu hana chake..

So hata mzee akifa atakuwa kafa maskini hamna kugombania mirathi zaidi ya nguo zake!

Huyo baba akili kubwa!

Everyday is Saturday.............................:cool:
 
Uza hiyo simu yako unayotumia Anza kufuga Kuku Ni fanya biashara ndogondogo ili badaye na wewe watoto wako wasije kukushitaki Kama ambavyo unataka kufanya.
hata sim ninayo itumia sio yakwang kuna jamaa kaniazima2 niwe nai2mia hata kuingia2 humu na2mia free basics
 
Kitanda hajui kinazaa haramu, kapotoshwa na mamake na huko vijiweni..

Babake kishajua huyu atasumbua watoto wake halali, so inavyoonekana, kama ni majumba, mashamba, viwanja, assets kawaandikisha watoto na mkewe, huyu hana chake..

So hata mzee akifa atakuwa kafa maskini hamna kugombania mirathi zaidi ya nguo zake!

Huyo baba akili kubwa!

Everyday is Saturday.............................:cool:
acha kulopoka nani kakwambia Mimi sio mwanae? Nisingekewa mwanae cangenikana kabla hata cjazaliwa
 
kinacho nifanya nishitak sio kunyima nihak mkuu watoto wengine kawapa magar wengine nyumba lakin Mimi kaninyima hata mtaji wa boda boda akat anajua mwanae sina kaz yoyote ya kufanya
Kawapa kwa sababu ni zake, sasa unataka kumzuia asiwape? Na anakunyima kwa sababu ni mali zake pia, utamalzimisha akupe? Halafu hizo mali kachuma na mama yao? Umeelewa?
 
Back
Top Bottom