Msaada wajinsi ya kuondoa background noise sound

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
935
1,000
Wakuu kwema humu jukwaani jana litok kununua studio microphone kuifunga ikawa inatoa sauti kama ya upepo shhhhhhhh.

Nilikua naomba kujuzwa namna ya kuiondoa au mic itakua chenga. natumia mixer ya yamaha na desktop chumba akiingizi sauti za nje ni sound proof
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,479
2,000
Hio mic haina option ya ku cancel Hizo noise? Ama kuchagua upande wa kupokea sauti? Angalia angalia button zake
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,316
2,000
Wakuu kwema humu jukwaani jana litok kununua studio microphone kuifunga ikawa inatoa sauti kama ya upepo shhhhhhhh.

Nilikua naomba kujuzwa namna ya kuiondoa au mic itakua chenga. natumia mixer ya yamaha na desktop chumba akiingizi sauti za nje ni sound proof
Tatizo kubwa linakuwa drivers. Hakikisha imeweka drivers husika za soundcard unayotumia otherwise lazima utakumbana ma tatizo la kelele.
 
Electronica

New Member
Oct 10, 2021
4
45
Ni vyema ungetaja aina ya mic yako. Nimewahi kutumia condenser microphone aina ya BM-800 na nilipambana kama wewe katika noise cancellation. Nilifanikiwa kwa kufanya haya:

1. Kutumia wind shield/breaker ambayo imekuja na mic. Condenser mics nyingi huwa ni bi-directional, hivyo hukutaka kutumia windshield kwa lengo la kutuliza sauti unaporekodi kutoka upande mmoja, napo mazingira yawe yametulia haswa.

2. Tumia pop filter: ijapokuwa kazi kubwa ya hiki kifaa ni kukata plosives, filter pia itakusaidia kuondoa background/hissing sounds kwa mbali.

3. Tumia soundcard nzuri: nilinunua mic yangu na ikaja na “cheap USB soundcard” kama zawadi kwenye package yangu, sikupata matokeo mazuri ya sauti hadi nilipoibadili na kuweka soundcard mpya. Zipo nzuri, za aina anuai na kwa bei affordable tu.

4. Tumia Phantom Power: hii unaweza itumia kama mbadala wa sound card. Matokeo yake ni mazuri SANA kushinda ambavyo mic ingetumika na sound card, ila sasa gharama yake imesimama kiaina

5. Mwisho, japo si kwa umuhimu, tafuta mtandaoni software nzuri ya kurekodia sauti pamoja na settings zake zinazoendana na aina ya mic uliyonayo. Mimi, mathalani, ni mpenzi sana wa Adobe Audition lakini nilibadili kabisa uamuzi wangu baada ya kutumia muda mrefu kutafiti na kujiridhisha kuwa Audacity ina settings rahisi na compatibility kubwa endapo nitaitumia kurekodia sauti kwa mic yangu ya BM-800. Hapa noise cancelletion niliifanya kiulaini kabisa na nikatengeneza voice-overs babkubwa.

Jaribu ushauri wangu.
 
Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,020

sometimes pia inategemea na ubora wa earth wire ya nyumba wakati wa kufanya wiring ya umeme
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom