Msaada wajameni- wadau wa elimu

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Jamani nimepata Pysics E, chemistry E, Biology B, div 2. je naweza pata medicine popote maana MUHAS/CUHAS BUGANDO ni ndoto. Nisaidieni
 
Vp KCMC, IMTU, KAIRUKI n.k jaribu kuangalia kwenye muongozo wa TCU wa 2012-2013. USIOGOPE! Utapata hiyo medicine & mkopo 100%....
 
Vp KCMC, IMTU, KAIRUKI n.k jaribu kuangalia kwenye muongozo wa TCU wa 2012-2013. USIOGOPE! Utapata hiyo medicine & mkopo 100%....

Lakini mbona IMTU wanafunzi walikuwa wanalalamika kuwa wanalipa milioni 8? Sasa hiyo 100% itatoka wapi. Na vipi kama nimesoma shule za kulipia tangu OLevel? Nitapata mkopo
 
IMTU, KAIRUKI wanachukua mpaka div 3 ya mwisho, wewe utapata katika vyuo hivyo ila ADA yao balaaaaa.
 
Serikali iliingilia kati, ada imeshushwa na inalipwa kwa Tsh, na sio Dola tena. Hali ya IMTU imekuwa shwari kwa sasa. Kile Chuo nakifahamu sana, kwani nafahamu watu wanaosoma hapo. Baadhi ya wanachuo waliooondoka wameanza kurudi.
Wewe omba haraka kupitia TCU, usisahau mkopo kwani umejuaje utapata IMTU.
Mkopo wa 100% upo kwa mujibu wa masharti na vigezo vya 2012/2013.
 
Back
Top Bottom