Msaada wajameni kuhusu line za safaricom Tanzania kwa anayejua

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Ndugu zangu kitambulisho cha NIDA nilihangaika hakieleweki hadi leo,nimechoka na hii serikali ya kutishanatishana kila wakati
Kuna uwezekano wa kutumia line ya safaricom Tanzania niombe jamaa zangu wa nairobi wanitumie?
 
Unatumia roaming kwa hyo utatumia namba hiyohiyo sema gharama zinakuwa kubwa kdg, kupiga simu dakika 6 wanaweza kukucharge tsh5000
 
Yeah ila gharama bado kubwa,Kama umefanya usajiri wa awali hapo NIDA ingia mtandaoni download softcopy ya kitambulisho chako tumia kwaajili ya uhakiki wa line ya simu.
 
Yeah ila gharama bado kubwa,Kama umefanya usajiri wa awali hapo NIDA ingia mtandaoni download softcopy ya kitambulisho chako tumia kwaajili ya uhakiki wa line ya simu.
Sorry naweza pata link ya website inayofikika kwa hizo Soft copy za IDs?
 
ila nadhani gharama itakuwa kubwa juu utakuwa unafanya roaming,Ila relax NIDa hawataweza kucover maombi ya namba milioni mbili ndani ya mda mfupi hili suala ni la mda mrefu sana,vinginevyomapato yanayoletwa na makampuni ya simu yataathirika kwa kiwango kikubwa
 
zinauzwa na MTU mmoja HV elfu kumi yupo mbagara kwa laini ya safaricom imeshasajiliwa

Back
Top Bottom