Msaada wadau

wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
15,226
37,570
Habari wakuu.

Kuna Verossa ninayo hapa ila kuna siku niliingiza mtaroni kule kwenye mguu wa kushoto wa mbele.

Baada ya hapo hilo tyre la mbele la kushoto likawa kama inagusa sehemu hivi nikikata corner lkn ikawa haina shida.

nikaipeleka kwa fundi akasema ule mkono wa kushoto umepinda akajaribu kuchomelea na gas ili kunyoosha huo mguu lkn shida ni kwamba sasa tairi imeweke 'tege' inakula tyre vibaya sana.

Nimejaribu kufanya wheel allignment lkn hakuna kitu,na hio shida ya tyre kuweka 'tege' imeanza baada ya mimi kumpelekea gari huyo fundi lkn kabla ya hapo hilo tege wala halikuwepo.

Naombeni ushauri wakuu,shida inaweza ikawa nini ili nikipeleka kwa fundi mwingine nijue hata abc za tatizo lenyewe.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom