Msaada wadau wa jukwa hili.

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Wadau wa jukwaa hili kwa heshima na taadhima nawaomba mnisaidie kumshawishi cheusi wangu(cheusimangala) asiende kuhasabiwa x-mas hii karibu na mlima mrefu kuliko yote africa na akubali kuwa nami tusherehekee sikukuu ya x-mas na mwaka mpya pamoja hapa bongo.Nahitaji msaada wenu wapwas na binamus msiniangushe siko tayari kuwa mpweke x-mas hii.
 
Kuna kitu kinaitwa kupiga ukunga ! Sorry mate that can be helpful if only worse gets to worst
 
Kama alishaamua sijui kama atakubali ngoja nijaribu kumpm but njia nyingine rahisi ni kwenda naye, kwanini usimfuate hukohuko?
 
Hakuna cha bure ndugu wewe kaongee na wazazi wa Cheusi rekebisha mambo aah binti atakuwa nawe kila siku kifuani mwako akideka na kuchezea gadeni lavu!:teeth:
 
Nilihitaji muda huu tuzoeane na kusomana tabia huko kwao hukutakua na chance hio.

Hakuna cha bure ndugu wewe kaongee na wazazi wa Cheusi rekebisha mambo aah binti atakuwa nawe kila siku kifuani mwako akideka na kuchezea gadeni lavu!:teeth:

Sikatai wacha wazazi hata kijiji kizima nitaongea nao au nilihutubie taifa kabisa baada ya kununua muda ITV,inabidi tuzoeane kwanza na muda huu wa likizo ni mzuri.
 
Kweli shosti'angu anapendwa njemba iko tayari kutalk na whole village ? au kuomba ridhaa ya wa-TZ ?
 
Wadau wa jukwaa hili kwa heshima na taadhima nawaomba mnisaidie kumshawishi cheusi wangu(cheusimangala) asiende kuhasabiwa x-mas hii karibu na mlima mrefu kuliko yote africa na akubali kuwa nami tusherehekee sikukuu ya x-mas na mwaka mpya pamoja hapa bongo.Nahitaji msaada wenu wapwas na binamus msiniangushe siko tayari kuwa mpweke x-mas hii.
Mpe sababu nzuri yakubaki....mwaga sera na ilani mwandikie!!!
 
Nenda naye tu kama ni wa kishumundu ukifika kijiji kwao vigelegele unapata kuanzia barabarani. Au mwache aende peke yake ila kama ni mmarangu tumia kura ya turufu kumzuia maana hapata tosha lazima umegewe kaka
 
Cheusi mangala oh cheusi mangala binti wa oprotol..
Uprotol anajisikia kila anaposikia heshima na upole wako kwa watu wa pembeni...
Cheusi mangala badili uamuzi wako kwenda mndenyi ubaki na uprotol!!
 
Hakuna cha bure ndugu wewe kaongee na wazazi wa Cheusi rekebisha mambo aah binti atakuwa nawe kila siku kifuani mwako akideka na kuchezea gadeni lavu!:teeth:

ktk wote Maria umeongea vyema,ujue sio kama sipendi kuwa nawe,natamani sana kuwa naye kila dk tatizo,ila nikiwa available sana hataona umuhimu wa kunioa.Mwambieni jamani akanitolee mahari maana hajui tu ninavyosubiri kumpikia na kumpakulia.
 
Kweli shosti'angu anapendwa njemba iko tayari kutalk na whole village ? au kuomba ridhaa ya wa-TZ ?

Kunipenda ananipenda tatizo promise nyingi muda unakwenda sioni akitekeleza.
anyway natamani nibaki naye lkn acha nijikaze apigwe na upweke kwenye xmas ndo atajua umuhimu wa kunitolea mahari ili next xmas niwe naye.
 
Wadau wa jukwaa hili kwa heshima na taadhima nawaomba mnisaidie kumshawishi cheusi wangu(cheusimangala) asiende kuhasabiwa x-mas hii karibu na mlima mrefu kuliko yote africa na akubali kuwa nami tusherehekee sikukuu ya x-mas na mwaka mpya pamoja hapa bongo.Nahitaji msaada wenu wapwas na binamus msiniangushe siko tayari kuwa mpweke x-mas hii.

Mpenzi wewe mwenyewe unajua jinsi navyopenda kuspend every minut na wewe,haya yote yasingetokea kama ungekua unatekeleza ahadi zako.
Mi naweza kukubali kubaki kwa sharti kuwa kabla ya xmas uwe umeshajitambulisha kwetu na kunitolea mahari.
 
Back
Top Bottom