Wadau wa jukwaa hili kwa heshima na taadhima nawaomba mnisaidie kumshawishi cheusi wangu(cheusimangala) asiende kuhasabiwa x-mas hii karibu na mlima mrefu kuliko yote africa na akubali kuwa nami tusherehekee sikukuu ya x-mas na mwaka mpya pamoja hapa bongo.Nahitaji msaada wenu wapwas na binamus msiniangushe siko tayari kuwa mpweke x-mas hii.