Msaada wadau: Nikiwa kwenye gari naumwa kichwa na kupata kizunguzungu

Prince Luanda

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
2,186
2,676
Hili tatuzi linekua likinisumbua kwa muda mrefu yani nikiwa kwenye gari naanza kupata kizunguzungu na maumivu ya kichwa hali hii inanifanya nichukie kusafiri.

Hii hali ikoje wadau?
 
kuna baadhi ya watu ambao miili yao hurespond differently wakati wakitumia usafiri sanasana ule wa umma.

Public transport..wengine hutapika, wengine huhisi kizunguzungu na pia kuna wale hujihisi joto joto..hili ni jambo ambalo kwa wakati mwingi husababishwa na tunachokiita insufficient oxygen hivyo ni vyema kuchukua nafasi mahala ambapo utaweza kupata hewa safi ili mwili wako uweze kusafisha damu sawasawa

kama shida hii ikiendelea waweza ukamuona daktari kwa mengi..
 
Back
Top Bottom