Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,230
- 10,093
Wadau habari za saa hizinatumai wazima wa afya kama kuna mgonjwa augue pole. Niende niende moja kwa moja kwenye mada yangu
Ni hivi yaani kila nkiingia kwenye Gmail yangu upande wa social naona sms kibao kutoka Facebook ya mtu mwingine tena kila siku mwanzo nilikuwa nafuta nikiziona lakini now ni too much nimejaribu kubadili password ya Gmail leo lakini nimewaza labda itajiautomatic mpaka kwa huyo anayetumia labda kwenye simu yenye acc yang nimewaza nilog out kwenye device zote nazohic au zitakazo kuwa na account yangu Sasa tatizo ndo hapo sijui jinsi ya kulog out na natumia simu bora ingekuwa computer kidogo ningeweza.
Naombeni msaada wenu asanteni.