Msaada wadau,nafukuzwa kwenye nyumba ya kupanga kwa kukosa elf 90

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,856
Habari zenu watanzania wenzangu!!
Naitaji elf 90 niweze kulipia kodi ya nyumba, kwa atakayeguswa,naomba ani PM nimpe mawasiliano yangu,anikopeshe hata kama nikwa riba,nipo serious wadau
 
Daah unanikumbusha nilivyokua nalipa 350,000/= Kodi ya nyumba kwa mwezi halafu landlord anataka miezi 6 nilihamia kwenye Nyumba yangu kabla hata ya kuweka umeme na maji
Kumbe tuko wengi asee. Mi nimehamia hata choo hakijakamilika. Nikachimba shimo nje nikaweka matairi ya magari... nikazungushia makuti mambo yakanyooka...

Nikikumbuka maisha yale huwa namshukuru sana kwa wema wake na kwa kunipa mke mvumilivu
 
Back
Top Bottom