Msaada wadau kuhusu kusoma kozi ya ICT

Screenshot_20181026-122100.png
 
Then no worry hapo unachotakiwa ni kuprint admissions letter basi aende shule,, kuwa kwenye list sio muhimu ila kuwa kwenye database ndo muhimu
Bro lkn walisema admission letters watazitoa kweny account ila hd sasa hiv bd.cijui vipi hawa watu
 
Ulichagua kozi gani mkuu, tupe na experience yako huenda ikawa somo/darasa kwa wengine...
 
Vipi mkuu Zeru, uliamua kwenda kozi gani? Tupe experience ya kozi unayosoma ...!
Ushauri mabibi na mwabwaa nilikuw ninaomba ushauri mm n mwanzafunzi niliyemaliza form iv mwaka juzi ila niliapply vyuo viwili ambacho n chuo cha ardhi cha morogoro kwa koz ya geomatics ila wameniambia hii koz imejaa ipo ya urban and reginal planning ndio mpya wamesem ndio naweza kusoma hivyo hivy pia niliapply ten chuo cha udom kwa koz ya ICT nimeshaguliwa pia kusoma,sasa wandugu naombeni ushauri niende koz ya mipango miji au ICT.
 
Technology is the future , it is one of area where employment opportunities are growing exponentially , it is expected by the year 2020 to increase even more it pays well and is the only field which has higher career satisfaction , one thing you need to ask yourself are you really interested to pursue career in technology , bacause technology changes everyday , so one need to keep himself updated everyday with new technology and trends being invented everyday, it is very painful if you are only after money then you have to bear the burden of learning non stop , also you need to master the skills otherwise you may end up home with your certificate on your hand because this field is all about skills not how well you have performed academically
Certainty bro
 
Back
Top Bottom