Msaada wadau English language

Harrykany

JF-Expert Member
May 10, 2019
615
662
Nataman sana kujifunza kingereza najua kusoma lakini kuelewa vitu vichache sana hata nikitaka nijaribu kuongea nachanganya data. Naomba mnipe kanuni ya kuweza kujifunza kingereza nianze na nini na nizingatie vitu gani. Niweze kuongea na kuandika
 
Mkuu asikudanganye mtu, kuweza kuongea na kuandika kiingereza ni sana kuwa na mwalimu mzuri ambaye angalau awe kwenye kiwango cha kati cha kuijua lugha.

Pia tafuta MTU utakayekuwa unaongea lugha Mara kwa Mara. Kweny hili nipo tayari kakingereza kangu ka kayumba kukusukuma. Karibu
 
Liundwe group la watsap.

Au telegram
 
Nataman sana kujifunza kingereza najua kusoma lakini kuelewa vitu vichache sana hata nikitaka nijaribu kuongea nachanganya data. Naomba mnipe kanuni ya kuweza kujifunza kingereza nianze na nini na nizingatie vitu gani. Niweze kuongea na kuandika
Tafuta mwalimu wa Kiingereza atakusaidia au jiunge na kozi fupi pale British Council, wako huko mjini -posta kama uko DSM.
 
Mkuu asikudanganye mtu, kuweza kuongea na kuandika kiingereza ni sana kuwa na mwalimu mzuri ambaye angalau awe kwenye kiwango cha kati cha kuijua lugha.

Pia tafuta MTU utakayekuwa unaongea lugha Mara kwa Mara. Kweny hili nipo tayari kakingereza kangu ka kayumba kukusukuma. Karibu
Asante mkuu nakaribia
 
Nataman sana kujifunza kingereza najua kusoma lakini kuelewa vitu vichache sana hata nikitaka nijaribu kuongea nachanganya data. Naomba mnipe kanuni ya kuweza kujifunza kingereza nianze na nini na nizingatie vitu gani. Niweze kuongea na kuandika
Tembelea maktabacau maduka ya vitabu vya shule. Pitia vitabu vya kuanzia darasa la kwanza. Ukiona unaelekea angalia vya la pili na kuendelea. Anzavkujifunza kuanzia na vitabu hivyo, uwe na kamusi ya Kiingereza kwa Kiingereza, uliza maswali usipoelewa, kadiri kinachoendelea, jaribu kusoma vitabu vya hadithi, kuanza na vya watoto, baadae magazeti, pia sikiliza redio, luninga, hotuba, YouTube upime na kujifunza uelewa na matamshi ya maneno.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom