Msaada wa zilipo ofisi ya Jakaya Mrisho Kikwete Foundation

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,400
Wakuu salama!... Naomba kujuzwa location za ofisi za Jakaya Kikwete Foundation. Hii ni taasisi ya JK iliyozinduliwa mwanzo wa mwezi huu wa March. Asanteni!
 
Wakuu salama!... Naomba kujuzwa location za ofisi za Jakaya Kikwete Foundation. Hii ni taasisi ya JK iliyozinduliwa mwanzo wa mwezi huu wa March. Asanteni!

Umeshindwa ata kutumia google mkuu
Ukaandika jina hilo?
Google inaonesha zipo masakk na namba za simu zipo hapo
 
Kutegemeana na nature ya uhitaji; nadhani kwa uwepo wa technology unaweza kupata huduma za JK foundation kama ishaanza kufanya operations bila ulazima kufika physical office.

Kwa sasa BRELA wanaweza kuhudumia na kupata usajili wa kampuni au jina la biashara bila ulazima wa kufika jengo la ushirika.

Unless kama uhitaji wa mhusika hauwezi kutatuliwa kwa njia ya mawasiliano ya mtandao.

Japo changamoto iliyopo kwasasa website ya Foundation haikupi access ya kuwasiliana na wakfu wa JK
 
Back
Top Bottom