BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,026
- 3,940
Wataalamu wa JF, kupitia msaada wenu nimeweza hatimaye kuchakachua Modem yangu ya Voda iweze pia kutumika na mitandao mingine. Asanteni.
Tatizo ni kuwa sina manual internet setting (ama Setup?) za mitandao ya Zain na Tigo kwenye DTop yangu hivyo bado sijaweza kupata internet kupitia mitandao hiyo.
Nijuavyo, Internet setting za mitandao hiyo huingia moja kwa moja kwenye Computer pale unapochochemeka zile Stick-Modem zao.
Naomba msaada wa kupata na kuingiza setup za internet za zain na Tigo kwenye DTop yangu ili niweze kutumia Modem yangu ya Voda niliyochakachua... Natanguliza shukurani.