Nini kilijiri j mosi mkuu kama hutojari tupe ronja na hiyo written ni lini?Natumaini mpo wazima, naombeni mtu mwenye idea ya maswali yanayoweza kutoka katika written interview ya uhamiaji anisaidie, au muundo wa maswali yake unakuaje, plz naomba anisaidie, asanteni sana
Vipi siku ya Jumamosi kilijili kitu ganiNatumaini mpo wazima, naombeni mtu mwenye idea ya maswali yanayoweza kutoka katika written interview ya uhamiaji anisaidie, au muundo wa maswali yake unakuaje, plz naomba anisaidie, asanteni sana
Tatizo sio kujibiwa tujiongeze pia muda mwingine mtu anakuwa offline,so ungevuta subira kidogo mpaka kesho hivi ndo ungenipa hizo lawama, I was offlineWewe ukiulizwa hujibu ila unataka wewe usaidie my friend tatizo hilo.
Sawa Kiongozi asisahau kupitia mission,vission za Kuanzishwa kwa Uhamiaji,current issue au hata tararibu za kupata hizi passport mpya vielelezo vipi vinatumika,Pia inaweza badirika ikaangukia kwenye Aptitude ambayo inakuwa general Qns. Mfano Maths,Comm.Skills,Briefly Explain na Technical Problems kila la kheri kwa huyo jamaa lolote laweza tokea.Tatizo sio kujibiwa tujiongeze pia muda mwingine mtu anakuwa offline,so ungevuta subira kidogo mpaka kesho hivi ndo ungenipa hizo lawama, I was offline
So far jumatano watu wanaenda kufanya written interview
Jumamosi walikua wanakaguliwa vyeti
Haya nipe idea ya maswali nimpe mwana
HahahahahNipo hapa hapa mgulani naona mjibu wa sheria wapo wengi balaa wanazunguka tu kila kona, hebu ngoja niwaite nipige nao story japo tufajirijiane
Vipi mzee wa kazi wamewachinjia Baharin ninii...?Nipo hapa hapa mgulani naona mjibu wa sheria wapo wengi balaa wanazunguka tu kila kona, hebu ngoja niwaite nipige nao story japo tufajirijiane