msaada wa win 8

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
za asubuhi wakuuu,,naombeni msaada kwa hili ,,nimebahatika kudownload win 8 lkn ni iso file afu ni lugha isio ya english ni spanyora je nicopy kwenye dvd itawea kufanya kazi na itaweza kubadilika lugha,,

natanguliza shukrani ,,,sipo kwa mda ila ntarudi
 
unatakiwa ui install Power Iso ili uweze ku extract kwenye lugha hapo imekula kwako hakibadiliki kitu unless umeisoma vibaya
 
za asubuhi wakuuu,,naombeni msaada kwa hili ,,nimebahatika kudownload win 8 lkn ni iso file afu ni lugha isio ya english ni spanyora je nicopy kwenye dvd itawea kufanya kazi na itaweza kubadilika lugha,,

natanguliza shukrani ,,,sipo kwa mda ila ntarudi

Hapo download language pack uinstall....... hiyo ya ya kukopi kwenye cd ibadilike kuwa kingereza maybe inawezekana, hata wewe wakikutoa bongo na kukupeleka Spain utaweza tu kuongea kispanyola
 
shukrani wadau kwa missaada yenu niliona option ya kuchange lingua kipindi na install
 
vippi nikitaka ku shutdown nifanye je? je kuhusu start button ni irudishe aje?
hahahahah nsame kwa kucheka fanya hivi kwanza unapo tumia windows 8 una acces vitu vyako kwa kupeleka mouse/cursor yako pembezoni mwa screen yako upande wa kulia au kushoto windows 8 haina start button kama ulio zoea kweny windows zingine zilizo pita start yako ndo hizo viboki unavyo viona hapo.ukitaka shutdown peleka cursor yako pembezoni mwa screen upande wa kulia utaona alama nne zimetokea kibonyeze cha settings utaona neon power ukibonyeza utapata option ya kushutdown .na ukitaka ona vitu ulivyo vifungua peleka cursor yako pembezoni juu au chini upande wa kushoto wa screen yako una weza left click mmoja wapo utakacho ona ili kuifunga ,kumbuka start yako ndio hivyo viboki una vyo viona vingi vingi hapo pia ukitaka kitu nenda kwenye menu ya upande wa kulia mwa screen kama nlivyo kuelekeza hapo juu ibonyeze kuna kibox utakiona type unacho tafuta kitatokea. pia njia rahisi ya kufanya mambo yako ni kwa kubonyeza desktop kwenye hivyo viboki unavyo viona hapo utapata atleast muonekkana kama ya windows 7
 
Back
Top Bottom