msaada wa win 8 download

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
nimepitia thread kazaa lkn link nilizoziona niza magnet ambazo kidogo ni juu ya uwezo wangu na hazikuweza kufunguka,,,baada ya kusema hayo basi naomba mwenye hiyo link ya ku-free download tushirikishane,,,au ni p m humu humu au kene rachyvici@yahoo.com
 
window 8 ni kumbwa kudownload, kwanini ustafute cd, ni ushauri wangu tu
 
nimepitia thread kazaa lkn link nilizoziona niza magnet ambazo kidogo ni juu ya uwezo wangu na hazikuweza kufunguka,,,baada ya kusema hayo basi naomba mwenye hiyo link ya ku-free download tushirikishane,,,au ni p m humu humu au kene rachyvici@yahoo.com

Downlod kitu inaitwa TIXATI hiyo kitu imetulia na itakusaidia unapofikia kwenye magnet link itadetect
 
nimepitia thread kazaa lkn link nilizoziona niza magnet ambazo kidogo ni juu ya uwezo wangu na hazikuweza kufunguka,,,baada ya kusema hayo basi naomba mwenye hiyo link ya ku-free download tushirikishane,,,au ni p m humu humu au kene rachyvici@yahoo.com

Hatua ya kwanza,donload & instal torrent client hapa kwenye Mirror 1
Hatua ta pili,download torrent file hii-ushauri pakua file lenye SEED kubwa.
Hatua ya tatu unaburn file kwenye DVD.
You're DONE.
Good luck

Ila mkuu,avatar yako ina utata sana,we haikutishi?!
 
Back
Top Bottom