Msaada wa Whatsapp mbili

mike318

Member
Nov 6, 2014
50
2
Nipo dar tmk,nahitaji mtu anisetie simu yangu nitumie namba mbili whatsapp.ni simu ya laini mbili.nmejaribu nmeshindwa(0719440158)
 
Hivi ushawahi kuona binadamu anawekewa mioyo miwili kwenye mwili mmoja?ukisha jijibu nadhani huta endelea kupoteza mda kwenye mambo ambayo hayawezekani.
 
inafaa kuweka hata whatsap 4 bktk simu moja yenye line 1. nione pm mkuu
 
Hivi ushawahi kuona binadamu anawekewa mioyo miwili kwenye mwili mmoja?ukisha jijibu nadhani huta endelea kupoteza mda kwenye mambo ambayo hayawezekani.
mambo gani yasiyo wezekana mkuu? hlo swala linawezekana hata whatsapp 4
 
Hivi ushawahi kuona binadamu anawekewa mioyo miwili kwenye mwili mmoja?ukisha jijibu nadhani huta endelea kupoteza mda kwenye mambo ambayo hayawezekani.

majibu na ulichochangia kinaendana sawa kabisa na jina lako Mgoroko kweli ww ni mgoroko aiseee.

usilolijua ni sawa sawa na usiku wa kiza.

mambo ya tech hutakiwi kusema haiwezekani bali sema huwezi
 
Last edited by a moderator:
Make sure ur rooted en Titanium is installed
Go to playstore download an app called "2lines WhatsApp" follow the guide thank me later via mpesa
 
Download application inaitwa Disa kwenye playstore...then instal kwa kufuata inavyokuelekeza mike318
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom