Msaada wa website | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa website

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ndume, Jul 16, 2011.

 1. n

  ndume Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani naomba kujulishwa website za maso ya A-level kwa masomo ya science
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mdogo/mkubwa mimi elimu ya tz sina ham nayo kabisa, nimesoma masomo ya science a-level tatizo ni kwamba tz hakuna references za vitabu vya science na kama ujuavyo somo la chemistry, biology kila kitabu kimeandika jibu lake sasa hapa inakuwa ni cheza potea kati ya wewe na mwalimu, kama mwalimu amesoma understanding bio basi wewe ukijibu kwa BS majibu yametofautiana na hivyo umekosa swali (upo nje ya marking scheme)

  cha kukusaidia ni kwamba jaribu kuuliza walimu wanaosahihisha mitihani necta, wakwambie ni vitabu gani huwa wanatumia kumark exams. Itakubidi hapa ufuate tu maana huna ujanja wa kuchomoka kwa bio/chem lkn kwa maths na physics unaweza akagoogle tu hamna shida
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  back to 2007 I started this project, 2009 nkaishiwa na hela nkaamua iweka pembeni. nilichokuwa najaribu fanya ni kupost science subjects weekly papers online,
   
Loading...