Msaada wa Website | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Website

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Radio Producer, Feb 14, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Habari za mida wana JF!
  Jamn naombeni msaada hivi kuna website inayoruhusu kufungua website bure kabisa au unalipa baadae! Iwe ya myname.com. Kama ipo wakuu mnipe nizame nataka nianzishe website ya kuwa natunza data zote zinazohusiana na ufisadi kama wiiklicks!
  Thenkiyu
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Zipo lakini wao watakuwa na madaraka mkubwa katika web yako mfano matangazoya biashara wataweka kokote wanakotaka!!hivyo unakuwa huna uhuru nayo japo nikwajina lako!!
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama ipo. Bore utumie Blogger more anonymous.
   
 4. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Kama unataka kutengeneza mtandao utakaokidhi matakwa yako nakushauri utafute huduma za kulipia. You will have to buy your domain name first e.g myname.com (there is no other alternative here). Secondly, you will have to have server space. Considering what you want to achieve, I will advice you to deal with reputable server providers. This will cost you some cash. In short you can not have your cake and eat it too. It does not cost a fortune to establish a secure net presence. Usitake kujenga banda juu ya mchanga!
   
 5. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  upo wapi?unataka kutengeneza wiki liki ya bongo?if thats the case nakushauri uwasiliane na akina Asenga wa wiki liki watakupa server space na mengineyo.actually kuna jamaa ana bifu na wiki liki amejitenga yeye atakusaidia pia :)

  Website siyo bure it cost money to have the service delivered for free,the only thing its free in the world is Oxygen the rest come with attached strings be it visible or invisible at first site.

  having said all that.
  go to www.co.cc utapat freee domain with a yourname.co.cc
  then go to wordpress tengeneza blogg yako with a template of a normal website wikileak lookalike
  then use yourname.co.cc to mask the wordpress url,
  then watu unawapa www.yourname.co.cc watakuwa wanaenda ktk hiyo website yako.
  Angalizo,hiizi free space za blogspot,wordpress etc zinamilikiwa na makampuni makubwa,na wana wataalam wa IT wazuri sana,so usifanye ujinga,uppuuzi ukidhani hautapatikana na hao unaotaka kuwaanika online,yanaweza kukuta makubwa popote ulipo duniani,now adays kuna private companies (military contractors) hao hawawajibiki kwa serikali yeyote wala sheria yeyote ,wanachojali ni pesa yao BASI ,so unaweza kubebwa na kupotea duniani
   
 6. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nimekusoma mkuu! pouwa sana !tayari nipo hewani
   
Loading...