Msaada wa vyuo vya utangazaji Arusha na Moshi na vigezo vya kujiunga na vyuo hivyo

Said Mshana

Member
Jul 10, 2016
65
92
Jamani samahanini nyote kwa usumbufu kwa heshima na taadhima ningeomba kwa yeyote yule ambaye anayejua vyuo vya kusomea utangazaji wa radio huku arusha na moshi ningeomba anifahamishe ila hata kama huvijui uyuo vilivyoko arusha na moshi ila kama unajua sifa/vigezo vya kujiunga na chuo chochote cha utangazaji anijulishe coz mm ning cheti cha certificate form four na nina div 2 na kama kama kunaanayejua ili kupata kazi unasoma miaka mingapi anijulishe na mshahara wake uko vipi? Naomba msaada please wakubwa zangu
 
Back
Top Bottom