Msaada wa vitendawili hivi tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa vitendawili hivi tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by mathematics, Aug 23, 2012.

 1. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,257
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  habari wanajamvi,

  naombeni msaada wa vitendawili hivi:

  "mbuzi wangu hula udongo tu."

  "watoto wa tajiri wa nguo hulala na kutembea uchi."

  Kuna mdogo wangu hapa amepewa HW tafadhali nisaidien.

  Natanguliza shukrani zangu kwenu!
   
 2. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,257
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kweli kiswahili kigumu sana au hakuna mabingwa wa kiswahili humu jamvini!
  inamaana kweli maana ya vitendawili hivyo imeshindikana kuipata hapa jamvini??
   
 3. s

  snagyguy Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu iyo ya pili ni maboga lakini kwa sentensi ya kwanza mi mwenyewe imenipiga mtama
   
 4. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,439
  Likes Received: 3,235
  Trophy Points: 280
  1. Mchwa
  2. Maboga
   
 5. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,257
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hii ya pili kuna mdau ameniambia eti ni nyota na mwezi, sasa sijui uhakika ni upi!
   
 6. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,257
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  upo Madame B?
  hii ya pili kuna mdau ameniambia eti ni nyota na mwezi, sasa sijui uhakika ni upi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,802
  Likes Received: 1,025
  Trophy Points: 280
  i salute u madame, nilivyoona huu uzi nkasema nije nikuite kumbe na wewe umeuona. btw how are u today?
   
 8. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #8
  May 13, 2015
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 9,735
  Likes Received: 13,080
  Trophy Points: 280
  1. Amchukuapo hamrudishi............
  2. Mama wa kijani watoto wekundu........
  Msaada viongozi.
   
Loading...