Msaada wa vifaa na madawa kutoka Jack Ma foundation kukabiliana na Corona virus kuwasili Tanzania leo

Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
25,360
38,869
Waziri mkuu wa Ethiopia leo ameeleza kuwa amepeleka vifaa pamoja na dawa kwa nchi za Somalia na Tanzania kukabiliana na Corona virus.

Msaada huu inatolewa na bilionea wa China Jack Ma mwenye online business Alibaba kwa chi zote duniani ikiwemo afrika.
Screenshot_20200324-204754.jpeg
 
Napendekeza utaratibu uanzie kugawa huku kwetu kwa Mtogole, maana dah.
 
Achelewi kwenda bandarini kuongoza mapokezi😂😂
Watanzania tushamshtukia msanii.mzee wa kudandia matukio kujipa umaarufu.leo kamwambia mtoto wa mbowe ana corona.dogo kaja speed 180 kamuumbua mze babaa kabaki na aibuu.
 
Watanzania tushamshtukia msanii.mzee wa kudandia matukio kujipa umaarufu.leo kamwambia mtoto wa mbowe ana corona.dogo kaja speed 180 kamuumbua mze babaa kabaki na aibuu.
Hii ya kumuumbuwa sijaipata mkuu. Kama imeripotiwa humu naomba unitag mkuu nami nikatoe neno maana si kwakulishwa matango na yule jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom