Msaada wa vibarua

lissa david

Member
Mar 3, 2017
45
12
Mimi naitwa Lissa David Nina miaka 22 miezi miwili ilio pita niliandika theard ya kutafuta kazi lakini bado sijapata msaada wenu jamani elimu yangu ni kidato cha nne niko mbeya.
 
Tafuta shamba ulime dada. Ukipata shamba fungua uzi wa kuomba mtaji, najua itakuwa rahisi na ina faida kuliko kutafuta kuajiriwa (kibarua) bora ujiajiri.
 
Kama una uwezo wakufanya kazi ya kufyatua tofari za bloko zinazo pigwa kwa mashine ya umeme tuwasiliane inatakiwa uwenanguvu ya kubeba
 
HV nynyi mnafikil kujiajir ni swala LA kukulupuka eeh!!kma unaweza kumpa shamba Fanya hvyo...na unaweza kumpa mtaj hakuna MTU acyetaka kujiajir
Amin Baba watu wanazan kutafuta kaz nikutokuwa na uwezo WA kujiajir it doesn't that jamn.haya Una idea za kujialili miakichwan uyo posa ya kujiajir unaitoa Wap c kupita vibarua hivi HIV kuen na busara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom