msaada wa utambuzi wa ugonjwa wana jamii wenzangu

kindikinyer leborosier

JF-Expert Member
Jan 6, 2018
430
780
asaalam wana jamii.
nina dada yake na rafiki yangu anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu kidogo.

anavyotuambia mwili wake mzima unakuwa kama unaungua moto, hasa miguu mpaka sehemu za siri na makalio, kiasi kwamba anajiloweka kwenye maji tuu na kulala kwenye fan ili walau apate afadhali.

mwisho akaanza kupata madonda kwenye makalio na hatimae miguu kubadili rangi, sehemu za uke pameharibika sana, pamevimba na kubadili rangi na kuwa peupe.

anateseka sana amepelekwa hospitali kadhaa anaambiwa ugonjwa hauonekani, mpaka ikabidi waanze kutumia mbinu za maombi, kuna kipindi alipandisha majini yakasema yametumwa na baba falani aliekuwa amempangishia nyumba kipindi anafanya kazi! lakini ameombewa bado hajapata afadhali!

msaada ndugu zangu! naamini walau tunaweza pata pa kuanzia hata kwa mawazo
 
HABARI NZURI KWA WA WATANZANIA PAMOJA NA WAHANGA WA TATIZO LA MIGUU NA MIKONO KUWAKA MOTO

Kama ni muhanga nakushaur soma makala hii ili uweze kupata faida kubwa
JE, WAJUA CHANZO CHA MIGUU AU MIKONO KUWAKA MOTO, KUUMA, AU KUFAGANZI?

Katika mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kuwaka moto na kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy.

Mwili wa binadamu hutawaliwa na mifumo ya neva au kwa kitaalamu Nervous System, ambapo katika mifumo hii kuna mfumo mkuu, central nervous system (ubongo na uti wa mgongo) na pia kuna mfumo wa pembezoni ambao ni kazi za mwili mbali na ubongo na uti wa mgongo (peripheral nervous system), mfumo huu wa pembezoni hujumuisha kazi za misuli, mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula tumboni, uwezo wa kuhisi baridi au joto, kugusa vitu na kujua ukali wa ncha ya kitu na kadhalika.

Matatizo haya ya kiafya (miguu au mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikononi.

Dalili zinazoambatana na ugonjwa huu ni hizi zifuatazo: Tu kuhisi ganzi
Maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni au mikononi,
Kuhisi kama umevaa soksi au gloves wakati hujavaa,
Kuhisi kama kuna kitu cha ncha kali kinakuchoma miguuni au kwenye vidole,
Kushindwa kushika au kunyanyua kitu,
Kuchoka kwa misuli na kadhalika.

Miongoni mwa mambo ambayo hupelekea neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni haya yafuatayo naomba uyafahamu:

Kupungua kwa virutubisho mwilini, katika hili tunamaanisha mwili kutokuwa na vitamini vya kutosha na hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).
Matumizi ya dawa, mtu kuwa katika matumizi ya baadhi ya dawa, mfano dawa za kutibu kifua kikuu au za kupambana na virusi vya ukimwi huweza kumsababishia mtumiaji matatizo ya neva.
Uzito mkubwa wa mwili: Hali hii hupelekea maumbile ya viungo vya mwili mfano umbile la uti wa mgongo lionekane tofauti na ilivyo kawaida, kubadilika huku husababisha baadhi ya neva katika uti wa mgongo zikandamizwe zaidi na misuli au uzito wa mwili na hivyo kusababisha neva hizo zishindwe kufanya kazi vizuri, matokeo yake ni wewe kuanza kuhisi maumivi au kufa ganzi kwa miguu.
Ugonjwa wa kisukari: Mtu mwenye tatizo la kisukari huwa hatarini zaidi kuugua au kupata matatizo ya neva, (diabetic polyneuropathy).
Shinikizo la damu: Mtu kuwa na shinikizo kubwa la damu (High blood pressure) pia ni kihatarishi kinachoweza kumfanya mtu apate ugonjwa huu wa neva.
Baadhi ya vitu hatarishi vinavyoweza kumfanya mtu apate matatizo haya, vinaweza kuepukika kwa mtu kuyabadili maisha yake mfano, kama ulikuwa hufanyi mazoezi ya mwili, basi ujitahidi kuupa mwili mazoezi ili kupunguza uzito wa mwili, kuepuka magonjwa ya kisukari na kuepuka kuwa na shinikizo kubwa la damu, kula chakula chenye virutubisho vya kutosha kama vile PHYTOGUARD, NEOTONIC, nk.

MATIBABU YA KITAALAM ZAIDI
Eternal international ndio suluhisho wasiliana nasi kwa simu 0653216061
Wa.me/255656216061
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom