Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,500
Mkuklu wetu bado ana nguvu, tena ni mzuri kwa sura na umbo, ila kizuri hakikosi kasoro, anawaza safari na kuchekacheka tu hata ambapo hapatakiwi kucheka.
Huyo ni Catheline Magige mbunge wa viti maalum Arusha.
Daaaa sio mchezo na kweli hapa lazima kutakuwa na maswali mengi, huyu dada ni dada gani avae sare nae?
oh kumbe? imekuwaje wavae sare namna hii na mkuu wa nchi?
Walikuwa wanaenda wapi
nguo hizo zimenunuliwa kwa dola na ni kwa kodi yetuDuh, wamemechisha? Wamependeza, ndilo pekee naloweza sema.
uMESHAAMBIWA NI MBUNGE WA VITU' MAALUMoh kumbe? imekuwaje wavae sare namna hii na mkuu wa nchi?
uMESHAAMBIWA NI MBUNGE WA VITU' MAALUM
Mama Mwanaasha mbona haonekani?
oh kumbe? imekuwaje wavae sare namna hii na mkuu wa nchi?