Msaada wa Ushauri

...:D nyie mnamshauri kuhama, hilo ni suluhisho moja wapo tu, je mkewe atamwambia sababu gani wanahama? ...unadhani wanaweza kuhama bure bure tu bila huyo shoga wa mkewe hajatia tifu fulani humo? itawezekana vipi wahamie huko makao mapya bila shoga-jirani kupajua?

Njia sahihi ya kukabiliana na tatizo, apambane nalo uso kwa uso, sio kulikimbia, kwani tatizo ni kama kivuli, yeye mbele tatizo linamfuata nyuma...!
Nachelea kumwambia huyu mheshimiwa, akiendelea kulichezea hili tatizo kwenye tundu la choo, atakuja vishwa utungo kiunoni na mwenye mali halafu afanyiwe kitu mbaya...

Mke wa mtu sumu, ohoo...!
 
mhusika hakuomba hukumu bali kaomba ushauri wa jinsi ya
kutatua shida aliyokuwa nayo.

mkuu binafsi nadhani tatizo lipo kwenye jinsi unavyotaka
kujinasua na hali uliyopo. inaelekea njia uliyotumia imemfanya
huyo "shoga" wa mkeo ahisi umemtumia na sasa unaona hana
maana tena. aidha inawezekana huyo bibie ndio "kishafika" kwako
kikwelikweli kiasi kwamba yu radhi kuvunja ndoa yake akiamini utaendelea naye.
kama hali ndio hii pole sana.

mdau kibunango hapo juu kakushauri uhame nami naamini huo ndio
uamuzi muafaka. kama nyumba uishio ni yako basi tafuta mpangaji
wewe uhamie eneo lingine hata kwa miaka mitatu ijayo. vinginevyo
kama hali inaruhusu nenda masomoni ukifika huko kata kabisa mawasiliano
labda hii itasaidia.

lakini khaa! kama moyo umependa endeleza libeneke kwani hujui msemo usemao nzi kufia juu ya kidonda... :)

sidhani kama anahukumiwa hapa, bali kutoa ushauri bila kumwelekeza mtu rafu zake ili siku nyingine asirudie tena sijui kama itamsaidia, kila mtu anafanya mistake kwenye maisha but kueleweshana ni muhimu! hakuna anaehukumu.
 
...:D nyie mnamshauri kuhama, hilo ni suluhisho moja wapo tu, je mkewe atamwambia sababu gani wanahama? ...unadhani wanaweza kuhama bure bure tu bila huyo shoga wa mkewe hajatia tifu fulani humo? itawezekana vipi wahamie huko makao mapya bila shoga-jirani kupajua?

Njia sahihi ya kukabiliana na tatizo, apambane nalo uso kwa uso, sio kulikimbia, kwani tatizo ni kama kivuli, yeye mbele tatizo linamfuata nyuma...!
Nachelea kumwambia huyu mheshimiwa, akiendelea kulichezea hili tatizo kwenye tundu la choo, atakuja vishwa utungo kiunoni na mwenye mali halafu afanyiwe kitu mbaya...

Mke wa mtu sumu, ohoo...!

na wakumbuke kwamba hao wake ni mashoga, may b mke wa jamaa anamwadithiaga mwizi wake ishu za ndani kwake bila kujua ni mwizi wake, na atamuelezea wanapohamia na kila kitu, haisaidii!nimemshauri huyo kaka ampe ukweli kwamba game over kwa sasa then kila mtu ashike lake, bado wapo kwenye mazungumzo, haaa mazungumzo my foot! haaa mpe kubwa atulie na mumewe huko na wewe uendelee na maisha na familia yako, nawe nawe ni taka sitaki tu huna lolote.
 
inawezekana kabisa jamaa kashikwa pabaya yaani huyo bibie kishaweka wazi
kwamba akitoswa ataweka wazi kila kitu. kumbuka kwamba mhusika kishasema kwamba uhusiano wao ulianza baada ya bibie kutoridhika katika ndoa yake hivyo inawezekana huyo bibie haogopi kuachika ila mdau ndio anaogopa soo likijulikana ndoa yake itavunjika na yeye hayuko tayari kuvunja ndoa yake. hapo lazima afanye majadiliano
 
...miaka mitatu aiseee, huenda jamaa keshamwaga kalufundi ka kutosha hapo, au sio kafara... ha ha haaaa... nakumbukia ile post yako ulosema ukimwagia kalufundi (mw'mke wa nje) ujue umekwisha!!!
 
...Binafsi huwa na cheat mara chache chache tena si na wake za watu kupasha moto ....
Sina shem hapa sitanii tena.....lol....angalia alivyofanyiwa mkware mwenzako...
attachment.php

Nakuhakikishia mkeo naye anamegwa na wajanja
sio la kuuliza mkewe mbona anamegwa tena kabla yake...may be 3 na nusu sasa....
 
Attachments

  • 111.jpg
    111.jpg
    11.5 KB · Views: 129
Hahahah

Dogo Yo Yo mimi nikiteleza nahangaika na Serengeti girls under 20!! wake za watu hawana mpango kabisa na hawafai...

Sina shem hapa sitanii tena.....lol....angalia alivyofanyiwa mkware mwenzako...
 
...miaka mitatu aiseee, huenda jamaa keshamwaga kalufundi ka kutosha hapo, au sio kafara... ha ha haaaa... nakumbukia ile post yako ulosema ukimwagia kalufundi (mw'mke wa nje) ujue umekwisha!!!

kwi kwi kwi si unajua jamaa wakivinjari mitaa ya nje wanataka waonekane wao
ndi walume wa shoka. halafu mamaa akimng'ang'ania anaaza complain ati ana problem ya matatizo! whaaat! kwi kwi kwi
 
Sina shem hapa sitanii tena.....lol....angalia alivyofanyiwa mkware mwenzako...
attachment.php

sio la kuuliza mkewe mbona anamegwa tena kabla yake...may be 3 na nusu sasa....

duh! halafu jamaa walivyo na roho ya stone hicho kipande walichokata
wanamrushia mbwa akitafunilie mbali!
 
si ndio hapo na mie najiuliza wanashauriana kitu gani hawa watu? labda atuambie waliandikiana mkataba.
...teh! teh! tehhh! Bibi yangu aliwahi kuniambia kuwa muangalifu unapoamua kuonja vitu vitamu mara nyingi huonji mara moja...Jamaa kanogewa huyo. Hebu atuambie huyo mdada walikuwa wanatumia condom nae au ni pure leather?
 
Wana-JF,Naingia hapa jamvini kama mdau mchanga sana,Kwenu naomba ushauri wa janga hili;...

...Nifanyeje wajemeni?Roho haitaki tena udhalimu huu.

...Kiroroma, are you there bro??? ...are you still alive, au 'deal' limebumbuluka???
 
Wana-JF,Naingia hapa jamvini kama mdau mchanga sana,Kwenu naomba ushauri wa janga hili;Shoga yake na wife ambaye ni jirani yetu hapa maskani alinikamata mguu miaka kama mitatu imepita kwa kisingizio kwamba ndani kwake hapati huduma stahili.Anaye mdau kama mimi ila nililong'amua ni kwamba mdau kazi zimemzidia na kinywaji sana.Sasa sihitaji kuendelea na maisha haya.Nimempa mpango huo live haelekei kuelewa ndo kwanza anaweka shinikizo kali na mkwara kibao.Nimekata mguu lakini hataki kuachia ngazi.Hanigharimu kitu chochote kwa maana ya mali au hata fedha lakini dhamira yangu inanishtaki sana.Uhusiano wa kifamilia ni mzuri kabisa wife hata fununu hana!Kwani shoga ni msiri hata kuliko Misri,hafanyi kosa yeye shida yake kubwa huduma tuu.Nifanyeje wajemeni?Roho haitaki tena udhalimu huu.

Kwa kuwa ulichokuwa unafanya ni uharamia. Waweza kuendeleza uharamia. Huyo 'mwenzio' inaelekea ataku-blackmail kwa kutaka kutoa siri kwa wife wako. Cha muhimu wewe muwahi either kwa kumwambia wife wako au kutafuta kitu cha kum-blackmail yeye ili ukimpiga chini abaki kimya. Umeelewa?
 
...teh! teh! tehhh! Bibi yangu aliwahi kuniambia kuwa muangalifu unapoamua kuonja vitu vitamu mara nyingi huonji mara moja...Jamaa kanogewa huyo. Hebu atuambie huyo mdada walikuwa wanatumia condom nae au ni pure leather?

Hahahah hapo ni pure leather....
 
Duuu wadau asanteni sana kwa ushauri wenu mzuri,Nimeuzingatia sana na hatua nimekwisha chukua na inaelekea kuna mafanikio yanaonekana.Wote waliochangia nawashukuru saana,walionihukumu pia nawashukuru kwa hakika ni vigumu kumshukuru kila mmoja aliyeshiriki,Lakini nawahakikishia kuwa ni kweli nilitenda ufedhuli huo bila kinga .Lakini nimepima ni mzima kiafya ila kiroho tatizo lilikuwa ni hilo nililoleta kwenu.Familia yangu yote ni salama hata Mdau wangu Mkuu ambaye kwa kweli wakati wote huu alikuwa ni mwaminifu kwangu na ndicho kitu kilichonipata na kuamua kuachana na upuuzi wa jinsi hii.Ili niwe mwaminifu kwa mwenzi wangu,Ndoa yangu,na hata mbele za Mungu.Nimekubali kuwa jamvi hili lina ushauri , na washauri wazuri.Naomba nifunge mjadala huu rasmi nikiamini kabisa sitarudi nyuma kamwe.

Ndugu yenu Mtandaoni

Mwana JF
Kiroroma
 
Haya "enenda zako kwa amani, usitende dhambi tena"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom