Msaada wa ushauri

BradFord93

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
910
2,164
Nilikuwa nadate na mdada flan....kwakweli maisha ndo kwanza nmeanza....lakini katika mazingira ya ajabu akanitegeshea mimba.

Nami nkampa ukweli kuwa sipo tyari kuwa mzazi na pia majukum hayo kwakweli siyawezi kwa mda huu.

Tukakubaliana itolewe....nkamtumia pesa...akaenda kwa dokta(kwa maelezo yake)...akanitumia text kuwa tyr ameshatoa...!!

Kukatokea kutoelewana baadae nkamkaushia....kisha nikatongoza mdada mwngne....sasa yule wa zman kajua...kamtishia yule mdada kuwa aachane na mimi....yule mdada mpya akakataa.

Sasa hivi yule girl wa zman ananambia kuwa ana mimba yngu....ile alonambia kuwa ameitoa...!!

Simuelewi...naomben msaada wa mawazo maana kwakweli kanivuruga.
 
Huyo wa pili nae tia mimba ili huyo wa kwanza aamue mwenyewe kukaa pembeni.
Shenzi kabisa unafanya upuuzi wako unakuja kutusumbua hapa?
Mbona wakati unarekebisha hukuja kuomba ushauri. BradFord93,
 
Nilikuwa nadate na mdada flan....kwakweli maisha ndo kwanza nmeanza....lakini katika mazingira ya ajabu akanitegeshea mimba.

Nami nkampa ukweli kuwa sipo tyari kuwa mzazi na pia majukum hayo kwakweli siyawezi kwa mda huu.

Tukakubaliana itolewe....nkamtumia pesa...akaenda kwa dokta(kwa maelezo yake)...akanitumia text kuwa tyr ameshatoa...!!

Kukatokea kutoelewana baadae nkamkaushia....kisha nikatongoza mdada mwngne....sasa yule wa zman kajua...kamtishia yule mdada kuwa aachane na mimi....yule mdada mpya akakataa.

Sasa hivi yule girl wa zman ananambia kuwa ana mimba yngu....ile alonambia kuwa ameitoa...!!

Simuelewi...naomben msaada wa mawazo maana kwakweli kanivuruga.
Ukiletewa mimba unajiona mtoto eti unaanza maisha, ila kwenye kutafuna papuchi unajiona mkongwe unabadilisha wanawake tuu... *%$#** wee
 
Nilikuwa nadate na mdada flan....kwakweli maisha ndo kwanza nmeanza....lakini katika mazingira ya ajabu akanitegeshea mimba.

Nami nkampa ukweli kuwa sipo tyari kuwa mzazi na pia majukum hayo kwakweli siyawezi kwa mda huu.

Tukakubaliana itolewe....nkamtumia pesa...akaenda kwa dokta(kwa maelezo yake)...akanitumia text kuwa tyr ameshatoa...!!

Kukatokea kutoelewana baadae nkamkaushia....kisha nikatongoza mdada mwngne....sasa yule wa zman kajua...kamtishia yule mdada kuwa aachane na mimi....yule mdada mpya akakataa.

Sasa hivi yule girl wa zman ananambia kuwa ana mimba yngu....ile alonambia kuwa ameitoa...!!

Simuelewi...naomben msaada wa mawazo maana kwakweli kanivuruga.
unataka ushauriwe nn??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom