Heshima yenu wadau wa jamvini ..
Kuna suala moja mtu wangu wa karibu kanisshirikisha nikaw njiapanda kutoa ushauri......
Ni kwamba jamaa alihitimu dip ya Education miaka kadhaa ilopita akaajiriwa sehem fulan mwez wa kwanza, ilipofika mwezi wa kumi na moja the same year akajiunga university bila ruhusa. Akiwa chuo ule mwez wa kwanza mkopo wa chuo ulichelewa .....watu wakamshauri akachukua loan taasis flan
kama 5m baadaye salary Ikakatwa.Kaendelea kupiiga buku kamaliza..Baadaye kaomba ajira mpya kwa gamba la degree bila diploma sehem tofaut akafanikiwa hakujulikana.Kakaa now miaka mitatu kuna majina flan yamekuj kituon mwaka huu system ikamtambua ana sifa ya diploma na aliwah kuwa kituo flan ,, ambayo yeye hakuitumia kuomba ajira mpya na ikawa ni lazima kujaza sifa ya degree,.
Sasa hofu ni kwamba
1.Kuna uwezekano wa kurudishwa kituo cha kwanza?
2.Je lile deni alilipa nani ??? na riba za hz taasis ndogo ni kubwa balaaa
acje akawa ni hewa akaambiwa anadaiwa kama 25m ..Na kuna uhakiki uliondoa wasokuwepo kazini akiwa shule
3.Afanyaje maana nahuku alijisahau akakopa ana deni kama 2m hivii
4.Na je akirudishwa kule si inaweza kuwa balaa kwa mwajiri
Yuko really upset and confused anaomba ushauri.Alifanya haya kwa ushauri mbay.Nawaombeni wazoefu kazni mtusaidie

Last edited: