Msaada wa ushauri/ sheria/ taratibu za kazi kuhusu kuombwa kutumika kusajili kituo cha afya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa ushauri/ sheria/ taratibu za kazi kuhusu kuombwa kutumika kusajili kituo cha afya.

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by CHE GUEVARA-II, Oct 26, 2011.

 1. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Wadau habari zenu?
  Naomba ushauri wenu.
  Mimi nafanya kazi katika kampuni fulani kama Medical Officer.
  Nimekuta health facility haijasajiliwa, nimefuatilia ili isajiliwe na mchakato ulipofika ni pazuri.
  Moja ya requirement ya registration ya health facility ni kumtumia Medical officer (ambaye atajulikana kama Medical Officer in charge) ku-justfy registration na huyo Medical Officer in charge hatakiwi kuwa anafanya kazi serikalini na hatakiwi kuwa registered kuwa mdau wa health facility yoyote ile.
  Nami ndiye Medical Officer pekee katika hiyo health facility ya kampuni hiyo.
  Hadi hapo ni dhahiri kuwa mimi nd'o nitatumia Qualification yangu kusaidia katika usajili wa hiyo health facility.
  Swali (ambalo nd'o kiini cha kuomba ushauri): Niwaambie wanilipe kiasi gani kila mwezi kama gharama ya kunitumia kusajili hiyo health facility? Kwa sababu nisipotumika mimi atatumika mwingine ambaye itabidi wawe wanamlipa kila mwezi, au ningekuta kuna mwingine alishatumika kusajili hiyo health facility mimi ningefikia kutibu na kushughulikia masuala mengine ya afya.

  Nikishatumia jina na vyeti vyangu kusajili ujue siku nikihitaji nami kufungua kituo cha afya itabidi nitumie jina na vyeti vya mwingine ambaye nitakuwa namlipa pesa kila mwezi badala ya kutumia jina na vyeti vyangu!

  Naomba kuwasilisha!
   
 2. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Waambie wakulipe kiasi cha kutosha sana, kitakacho-compasate loss utakayoipata wakati utakapohitaji kufungua kituo chako cha afya.
  Otherwise ukitumia vyeti vyako nahisi inaweza kula kwako maana utawafaidisha wewe na kumbuka ajira hizi hazieleweki na future yake ni ndogo
   
 3. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Nimekusoma mkuu.
  They must pay me at least 1,000 USD per month na iwe inafanyiwa increment annually lkn pia isiwe inakatwa kodi!
  Siku nikihitaji ku-withdraw (ikifikia nahitaji kuanzisha Health Facility au wakini-bore) nitafanya hivyo AT any time na lazima iandikwe kwenye contract hiyo.
   
Loading...