MTAMBOKITAMBO
Senior Member
- Jun 2, 2011
- 194
- 39
Habari wakuu,weekend inakwendaje pande zenu...Sasa wadau wa hili jukwaa naomba msaada wa ushauri wenu kweny hii blog yangu ya http://www.logozetu.blogspot.com/ Blog inahusu graphics designing kwa ujumla kama vile logo design,banners...nk.
Najua mawazo yenu yatanisaidia mimi na wadau wengine wenye mawazo kama yangu ya kufanya kazi online.Kutokuwa na ofisi kusitufanye kuwa masikini wakati vipaji tunavyo vijana.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Cheers!
Moja ya kazi zangu ni hii...