Msaada wa ushauri kwa wataalam wa simu....

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
7,150
15,604
Wakuu naomba mnifahamishe/shauri smart phone nzuri na ya bei rahisi inayofaa kwa mwanamke,aliyokuwa akiitumia mtoto kaitumbukiza kwenye ndoo ya maji fundi anataka 70,000/= kuirekebisha nimeona bora kununua nyengine.budget 150,000/= iwe brand yoyote isiwe Tecno.nawasilisha
 
Back
Top Bottom