Msaada wa ushauri kwa braza.

kalou

JF-Expert Member
Aug 22, 2009
4,975
3,824
Habari zenu wana M.M.U.
Leo nilipigiwa simu na mdogo wangu (he is 21yrs) yuko chuo pale ushirika moshi,
amejaribu ku "do" na gf wake mara 2,mara ya kwanza ni three weeks ago na jana akawa hasimamishi,amesema hana msongo wa mawazo,hebu waungwana nisaidieni ushauri wa kumpa..na mimi ndo big bro kwa hiyo lazima nije na suluhisho la maana..
asanteni
 
anakula nini?
amewahi kufanya huko nyuma?
mwanamke msaafi?
ana uhakika na afya yake na mwenzie?
 
Mkataze NGONO ZEMBE!!!!!! Ukimwi Unaua, hata siku haijapita toka tuadhimishe siku ya ukimwi duani!!!!! (That comming from me!!!!!!!! You better take it seriously)
 
au alikunywa via.gra nusu dozi? Maana mtu akinywa nusu dozi inasinyaa hadi haionekani.

Watumiaji wawe makini wasije pania game wakaishia kujikomesha.
 
anakula nini?
amewahi kufanya huko nyuma?
mwanamke msaafi?
ana uhakika na afya yake na mwenzie?

atakuwa ameshawahi sio first time,unafiri ni tatizo ,akienda hospitali acheki nini specifically?
 
Mkataze NGONO ZEMBE!!!!!! Ukimwi Unaua, hata siku haijapita toka tuadhimishe siku ya ukimwi duani!!!!! (That comming from me!!!!!!!! You better take it seriously)

dah,nitamkumbusha tena..ila dogo anataka kuanza kutumia viagra(imagine he is 21)nimemwambia he is too young for that,but he is so desperate
 
au alikunywa via.gra nusu dozi? Maana mtu akinywa nusu dozi inasinyaa hadi haionekani.

Watumiaji wawe makini wasije pania game wakaishia kujikomesha.

kasema hiyo kitu ndo anataka kujaribu,ila nimemkataza.
 
hahahaha hiyo itakuwa kwa sababau jinsi jamaa alivyo dhani demu ataku sivyo. mtu unakuwa umejenga picha kuwa huyu atakuwa na fingure la ukweli....mwe! akivua nguo full michilizi vuzi hilo na K inatisha. mwana lazima stimu zote zikate. na mwanaume lazima upende dushelele lako bwana... lazima iingie kwenye K yenye hadhi ya dushelele yako
 
dah,nitamkumbusha tena..ila dogo anataka kuanza kutumia viagra(imagine he is 21)nimemwambia he is too young for that,but he is so desperate

Mhhhhhhhhh!

1) Mi naona hana tatizo ila anataka kecheza mechi moja matata ili AIMPRESS mbayaa! Sasa akili inafocus sana kwenye performance kuliko enjoymentt hivo anashindwa kurelax n take it easy anapanic!

2) Demu chuna la haja, mashallah ile kuuona mzigo tu blood pressure inashuka mbovu!(Dawa afanyie gizani bila kuliona merchandise)

3)Mungu tu anamuepusha na Ngoma kinguvu! Ukute demu waya sasa imebidi mkuu aingilie na kumuokoa MIRACULOUSLY!
 
hahahaha hiyo itakuwa kwa sababau jinsi jamaa alivyo dhani demu ataku sivyo. mtu unakuwa umejenga picha kuwa huyu atakuwa na fingure la ukweli....mwe! akivua nguo full michilizi vuzi hilo na K inatisha. mwana lazima stimu zote zikate. na mwanaume lazima upende dushelele lako bwana... lazima iingie kwenye K yenye hadhi ya dushelele yako

natamani ningemuona huyo gf wake,ila dogo anakuaga mkali kwenye ku point mademu wake...ila hujui chakula ama aina ya mazoezi anayoweza kufanya ila kumrudisha kwenye fomu.
 
najua alikunywa Valium mg 15, ili kupunguza presure ya kutetemeka ovyo. au alilamba na kakonyagi kidogo kuchanganya na valium. valium huleta madhara kama hayo, yaani kutodinda(kuujaza )kisawasawa. Halafu kitu kingine ni kupunguza weight kinguvu nayo ina fanya kuujaza kuwe ni tatizo.mwisho ni , kupiga nyeto kabla na baada ya kulala. Kuna nyeto ambalo huweka koozi mkononi halafu huzungushia............ hili nalo ni baya sana maana huleta kizunguzungu kibaya sana kichawni au light headed move.

jaribu kumhoji huyo dogo, utagundua lazima atakuwa kaangukia moja ya hayo niliyosema hapo juu. mwambie akae wiki mbili bila kufanya nyeto wala kulala na demu, hali yake itajirudi vizuri tuu.
 
Mhhhhhhhhh!

1) Mi naona hana tatizo ila anataka kecheza mechi moja matata ili AIMPRESS mbayaa! Sasa akili inafocus sana kwenye performance kuliko enjoymentt hivo anashindwa kurelax n take it easy anapanic!

2) Demu chuna la haja, mashallah ile kuuona mzigo tu blood pressure inashuka mbovu!(Dawa afanyie gizani bila kuliona merchandise)

3)Mungu tu anamuepusha na Ngoma kinguvu! Ukute demu waya sasa imebidi mkuu aingilie na kumuokoa MIRACULOUSLY!

hiyo ya 3 na yenyewe point kweli.
 
Mwambie ash2e porn kdogo 2one yale mambo ye2 kama ayatafanya kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom