Msaada wa ushauri kwa anayejua

mibiki mitali

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
238
392
Msaada wakuu, gari yngu ilikaa pasipo kuwashwa Kwa almost a year, Leo nilikua nataka kuiwasha ikakataa so nikaita fundi umeme na engine. Baada ya kuhangaika sana computer ya fundi umeme imeleta hili tatizo Sasa wajuzi naomba ushauli wenu tafadhali.

Computer ndo hiyo na gari ndo hiyo.

IMG_20210708_144611.jpg
IMG_20210705_173915.jpg
IMG_20210708_144611.jpg

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Msaada wakuu, gari yngu ilikaa pasipo kuwashwa Kwa almost a year, Leo nilikua nataka kuiwasha ikakataa so nikaita fundi umeme na engine. Baada ya kuhangaika sana computer ya fundi umeme imeleta hili tatizo Sasa wajuzi naomba ushauli wenu tafadhali.

Computer ndo hiyo na gari ndo hiyo.

View attachment 1846000View attachment 1846001View attachment 1846002

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app

Gari ina engine gani? V type au Inline?

Probably panya wamekula waya ya Camshaft position Sensor.

Angekuwa anaweza kuangalia angeangalia kama hiyo sensor ina generate signal yoyote.
 
Mmecheki kwanza battery kama ina voltage ya kutosha ? Kununua sensor iwe zoezi la mwisho, muanzie kwenye battery halafu wiring mpaka kufika kwenye hiyo camshaft sensor. Ila kuiacha benz kwa zaidi ya miezi sita bila kuipiga moto ni risk sana, ianonekana ya kwako umebahatika kupata tatizo dogo maana hata hiyo sensor ukisema uagize online haina bei ya kutisha.
 
Thanks much

Back
Top Bottom