Msaada wa Usafiri kwenda Njombe /Makambako Mchana!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,627
10,239
Nimepata safari ya ghafla kwenda Makete.Nahitaji usafiri mchana huu ili nilale Njombe au Makambako.Na siwezi ondoka asubuhi kwa kuwa nina kazi hadi saa 6.Naomba msaada wako.NIpo Dar!
 
AHSANTE NINJA,UBINGO UPANDE UPI KAMANDA,Afu siri yako It nini!

Ubungo kwenye ghorofa ya tanesco, kwa mbele kidogo kwenye ile plant yao, pale huwezi kosa gari.. it ni magari yanayo kuaga yanasafirishwa kama sijakosea. kwa ufupi pale huwezi kukosa gari
 
kaka barabara usipime magari mengi, kama walivyokwambia jamaa wako sahihi, ubungo maji, au kituo cha daladala cha rombo, mwisho nenda kidongo chekundu uliza pale kuna kosta hua zinatoka jione kwenda mbeya hivyo lahisi kwako.
 
Nimepata safari ya ghafla kwenda Makete.Nahitaji usafiri mchana huu ili nilale Njombe au Makambako.Na siwezi ondoka asubuhi kwa kuwa nina kazi hadi saa 6.Naomba msaada wako.NIpo Dar!
Kwa maelezo ya hawa jamaa walio tangulia ni dhahiri umeelewa. Kwa IT panda gari ndogo usipande magari makubwa kama Maroli na Pick-ups utachelewa kufika. Na pengine utafika kesho. Hizo ndogo ni uhakika.
 
Nimepata safari ya ghafla kwenda Makete.Nahitaji usafiri mchana huu ili nilale Njombe au Makambako.Na siwezi ondoka asubuhi kwa kuwa nina kazi hadi saa 6.Naomba msaada wako.NIpo Dar!
Mwisho nikutakie safari njema. Karibu Makambako wenyeji tupo.
 
Kwani hamna chopper za kukodi ... Au hizi ndege za kitalii au kijeshi kanda hizo ..Barabara za kusini !!! Aghr

Safar njema.
 
Back
Top Bottom