Jana baada ya kusoma hiyo thread yake huyo jamaa nilicheka Sana,yaani kuna watu bado wanataka kujua kuhusu ubora wa IST? Hii sio gari ya kujiuliza mara2 kama ununue ama la!! Watanzania wote hiyo ndiyo gari Yao sasa kunahaja tena ya kujiuliza?Ufafanuzi kuhusu nini? Gari ya engine ndogo kama hio haihitaji ufafanuzi wowote ule kama umeipenda inunue...maana ni gari ya Taifa kwa 90% ya wanaoanza maisha...
Jana baada ya kusoma hiyo thread yake huyo jamaa nilicheka Sana,yaani kuna watu bado wanataka kujua kuhusu ubora wa IST? Hii sio gari ya kujiuliza mara2 kama ununue ama la!! Watanzania wote hiyo ndiyo gari Yao sasa kunahaja tena ya kujiuliza?
Yapo Magari unaweza kuja mtandaoni kupata ushauri lkn sio IST,hii ni gari ya taifa
The way unavyoyajua wewe magari sio sawa na watu wote wanavyoyajua, kuna watu kila gari ya juu wanaita Prado, na wengne gari zote ndogo wanaita ist. Kwahiyo mtu anapouliza tujitahidi kumjibu kulingana na hitaji lake, wengne ndio wanaanza kujifunza kumiliki magari.Jana baada ya kusoma hiyo thread yake huyo jamaa nilicheka Sana,yaani kuna watu bado wanataka kujua kuhusu ubora wa IST? Hii sio gari ya kujiuliza mara2 kama ununue ama la!! Watanzania wote hiyo ndiyo gari Yao sasa kunahaja tena ya kujiuliza?
Yapo Magari unaweza kuja mtandaoni kupata ushauri lkn sio IST,hii ni gari ya taifa
Nimekuelewa bossThe way unavyoyajua wewe magari sio sawa na watu wote wanavyoyajua, kuna watu kila gari ya juu wanaita Prado, na wengne gari zote ndogo wanaita ist. Kwahiyo mtu anapouliza tujitahidi kumjibu kulingana na hitaji lake, wengne ndio wanaanza kujifunza kumiliki magari.