Msaada wa ufafanuzi wa kina kuhusu Toyota IST

Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,213
2,000
Wakuu naomba ufafanuzi wa kina kuhusu sifa za hii gari kimoja baada ya kingine...

TOYOTA IST
2003
black
NCP60
1.3F L Edition
AT
1300 cc
AC
FF87
57000 km

Natanguliza shukrani...
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,213
2,000
Ufafanuzi kuhusu nini? Gari ya engine ndogo kama hio haihitaji ufafanuzi wowote ule kama umeipenda inunue...maana ni gari ya Taifa kwa 90% ya wanaoanza maisha...
Ufafanuzi wa izo sifa zake mkuu..
 
pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
5,313
2,000
Ufafanuzi kuhusu nini? Gari ya engine ndogo kama hio haihitaji ufafanuzi wowote ule kama umeipenda inunue...maana ni gari ya Taifa kwa 90% ya wanaoanza maisha...
Jana baada ya kusoma hiyo thread yake huyo jamaa nilicheka Sana,yaani kuna watu bado wanataka kujua kuhusu ubora wa IST? Hii sio gari ya kujiuliza mara2 kama ununue ama la!! Watanzania wote hiyo ndiyo gari Yao sasa kunahaja tena ya kujiuliza?

Yapo Magari unaweza kuja mtandaoni kupata ushauri lkn sio IST, hii ni gari ya taifa.
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,213
2,000
Jana baada ya kusoma hiyo thread yake huyo jamaa nilicheka Sana,yaani kuna watu bado wanataka kujua kuhusu ubora wa IST? Hii sio gari ya kujiuliza mara2 kama ununue ama la!! Watanzania wote hiyo ndiyo gari Yao sasa kunahaja tena ya kujiuliza?
Yapo Magari unaweza kuja mtandaoni kupata ushauri lkn sio IST,hii ni gari ya taifa
 
JAKUGOTE

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
546
1,000

The way unavyoyajua wewe magari sio sawa na watu wote wanavyoyajua, kuna watu kila gari ya juu wanaita Prado, na wengne gari zote ndogo wanaita ist. Kwahiyo mtu anapouliza tujitahidi kumjibu kulingana na hitaji lake, wengne ndio wanaanza kujifunza kumiliki magari.
 
kayanda01

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
686
500
Ist ncp60 kanafaa kwa town trips tu misele ya hapa na pale. Kana cc 1290, hakafai kwa safari ndefu.

Kama ni mtu wa masafa long trips chukua Ist ncp61 ina cc1490 (1500), long trip yoyote inatembea.

Kwa uchumi wa kuunga unga, ist ndo mwake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom