Whitney Houston
JF-Expert Member
- Jan 5, 2019
- 213
- 403
Wanajamvi,
Poleni na majukumu. Naomba ufafanuzi kuhusu hii course ya International Relation and Diplomacy. Watu wanaosomea hii course huwa wanakuja kufanya kazi gani na wanafanya kazi wapi? Upatikanaji wa ajira zake ukoje?
Kwenye uandishi kama kuna sehemu nimekosea mnielekeze sababu sijawahi kupost thread humu JF.