Msaada wa ufafanuzi katika ujenzi wa ghorofa moja

Ipo misingi tofauti tofauti kwaajili ya ghorofa.
Lakini kwa nyumba za ghorofa moja za makazi,kuna aina moja ya msingi ambayo Mara nyingi hutumika,kwa urahisi ipo hivi:

~Unachimbwa msingi wa wastani wa mita moja na nusu (1.5m),na kwenye kila kona ambako nguzo itasimama inachimbwa square ya wastani wa mita moja point mbili (1.5x1.5).

~Baada ya hapo kuna 'layer' tunayoiweka inaitwa 'blinding'.Hii inaweza kuwa ni mchanganyiko wa cement na mchanga au cement,mchanga na zege kwa gredi ya kawaida (Grade 15).Grade hii haihitaji cement nyingi sana.Lengo la hii 'blinding' ni kutengeneza 'surface' isiyo na mabondebonde.

~Baada ya hapo,zinasukwa nondo kutengeneza square yenye 1.2m x 1.2m ambayo itakaa kwenye visquare vya 1.5x1.5m.Hiyo 0.3m inayobaki ni kwaajili ya kupiga mbao'plywood' za base yenye upana wa 350mm -450mm.Wastani kila shimo hutumia nondo moja ya mita 12@16mm diameter ,Kwa spacing ya 175mm,na 'ancre' isiyopungua 250mm.

~Nondo kwaajili ya nguzo 'starter
column' ,ambazo huingia kwenye hayo mashimo ya mita 1.5.Husukwa na kufungwa kwenye hivyo 'vichanja' vya base vya 1.2m by 1.2m.'ancre' yake' ni 300mm.

~'base' huunganishwa kwa 'vichanja' vilivyosukwa upande mmoja."Singly reinforced' kutengeneza msingi ulioungana 'combined strip and pad footings'.

~Baada ya kufunga 'boards'za base za msingi kwaajili ya Ku 'cast zege' ,zege humwagwa.Humwagiliwa kwa siku saba na kisha kutolewa.

~'boksi' au shutters kwaajili ya nguzo za msingi 'starter column' hufungwa.na baadae zege humwagwa.Baada ya muda fulani hufunguliwa na kuendelea kumwagiliwa ili kusaidia kukomaa.Kumbuka kuacha matolezi ya nondo kwa kila nguzo,kwaajili ya nguzo za juu.

~Kazi inayofuata ni kujenga 'blocks' au mawe juu ya base mpaka usawa wa juu wa ardhi.Baada ya kumaliza kujenga.Kifusi kilichotoka kwenye msingi hurudishiwa na kusindiliwa.Inashauriwa Kifusi kiwe kimethibitishwa na mtaalamu wa ujenzi (Mhandisi/Fundi mchundo).

~Baada ya hapo 'ground beams' nguzo za kulala kwaajili ya kushikilia jengo lisititie has a wakati wa majanga kama matetemeko husukwa na kumwagwa.Zinaweza kuwa nondo za mm 12 au 16.na kufungwa na ringi za mm 8 kwa nafasi ya 200mm.

~Baada ya hapo Kifusi huendelea kusindiliwa,baadae inawekwa 'hardcore' au mawemawe.Juu kabisa inawekwa layer ya mchanga.Unapulizia dawa 'anti-termites'

~Juu kabisa inawekwa DPM na 252 BRC mesh.Baadae inamwagwa zege tena.

KIUFUPI:kwa uzoefu wangu msingi wa ghorofa moja ya makazi,kwa ramani ya 12m by 14m,hugharimu kuanzia 20-30M

~Kwa issue ya aina ya kiwanja.
Kama kiwanja chako kipo miliman au kwenye kilima.Ushauri wangu ni kwamba usijenge kiti kirefu mpaka usawa wa kilima kwaajili ya kujenga sehemu ya juu.Unachoweza kufanya ni kwamba sehemu ya chini unaweza kujenga 'basement' kama mbadala wa kujenga kiti kirefu kisicho na maana.'basement' hii waweza kutumia kama vyumba,au parking.

~Kwa issue ya nondo za jengo zima la ghorofa moja,kwa Uzoefu wangu andaa 32-35Mil.Nondo utakazotumia ni za
mm16,mm12,na mm8.bila kusahau binding wires kwaajili ya kufungia nondo.

~Bajeti ya nyumba za ghorofa moja ya makazi ni zaidi ya Mil 100.KUMBUKA:Hii inategemea aina ya ramani,Finishing,Gharama za ufundi eneo husika,Upatikanajj wa material ikiambatana na kubadilikabadilika kwa gharama sokoni,na Usimamizi sahihi usioambatana na 'upigaji'.

Nawasilisha

Kaka umeelezea vizuri sana ahsante kwa moyo wako hakika Mwenye nia ya kweli amejifunza kitu naomba ushauri wako mim nimejenga nikanunua vyoo vile vya kuchimbia Matank ukutani sasa fundi hakunishauri vizuri nikamwaga na zege sehemu niliyoweka matank sasa Kuna tank moja choo chake ni European( cha kukaa) lakin mim nikamodify nikaweka kwenye Asian toilet (choo cha kuchuchumaa) bomba lake la maji ni nchi mbili sasa ukiflush maji yanatoka kidogo na bila pressure issue inaweza kuwa ni nin na hiyo sehemu mpka tiles nimeshaweka inaniuma kweli kuvunja tena .
 
Ipo misingi tofauti tofauti kwaajili ya ghorofa.
Lakini kwa nyumba za ghorofa moja za makazi,kuna aina moja ya msingi ambayo Mara nyingi hutumika,kwa urahisi ipo hivi:

~Unachimbwa msingi wa wastani wa mita moja na nusu (1.5m),na kwenye kila kona ambako nguzo itasimama inachimbwa square ya wastani wa mita moja point mbili (1.5x1.5).

~Baada ya hapo kuna 'layer' tunayoiweka inaitwa 'blinding'.Hii inaweza kuwa ni mchanganyiko wa cement na mchanga au cement,mchanga na zege kwa gredi ya kawaida (Grade 15).Grade hii haihitaji cement nyingi sana.Lengo la hii 'blinding' ni kutengeneza 'surface' isiyo na mabondebonde.

~Baada ya hapo,zinasukwa nondo kutengeneza square yenye 1.2m x 1.2m ambayo itakaa kwenye visquare vya 1.5x1.5m.Hiyo 0.3m inayobaki ni kwaajili ya kupiga mbao'plywood' za base yenye upana wa 350mm -450mm.Wastani kila shimo hutumia nondo moja ya mita 12@16mm diameter ,Kwa spacing ya 175mm,na 'ancre' isiyopungua 250mm.

~Nondo kwaajili ya nguzo 'starter
column' ,ambazo huingia kwenye hayo mashimo ya mita 1.5.Husukwa na kufungwa kwenye hivyo 'vichanja' vya base vya 1.2m by 1.2m.'ancre' yake' ni 300mm.

~'base' huunganishwa kwa 'vichanja' vilivyosukwa upande mmoja."Singly reinforced' kutengeneza msingi ulioungana 'combined strip and pad footings'.

~Baada ya kufunga 'boards'za base za msingi kwaajili ya Ku 'cast zege' ,zege humwagwa.Humwagiliwa kwa siku saba na kisha kutolewa.

~'boksi' au shutters kwaajili ya nguzo za msingi 'starter column' hufungwa.na baadae zege humwagwa.Baada ya muda fulani hufunguliwa na kuendelea kumwagiliwa ili kusaidia kukomaa.Kumbuka kuacha matolezi ya nondo kwa kila nguzo,kwaajili ya nguzo za juu.

~Kazi inayofuata ni kujenga 'blocks' au mawe juu ya base mpaka usawa wa juu wa ardhi.Baada ya kumaliza kujenga.Kifusi kilichotoka kwenye msingi hurudishiwa na kusindiliwa.Inashauriwa Kifusi kiwe kimethibitishwa na mtaalamu wa ujenzi (Mhandisi/Fundi mchundo).

~Baada ya hapo 'ground beams' nguzo za kulala kwaajili ya kushikilia jengo lisititie has a wakati wa majanga kama matetemeko husukwa na kumwagwa.Zinaweza kuwa nondo za mm 12 au 16.na kufungwa na ringi za mm 8 kwa nafasi ya 200mm.

~Baada ya hapo Kifusi huendelea kusindiliwa,baadae inawekwa 'hardcore' au mawemawe.Juu kabisa inawekwa layer ya mchanga.Unapulizia dawa 'anti-termites'

~Juu kabisa inawekwa DPM na 252 BRC mesh.Baadae inamwagwa zege tena.

KIUFUPI:kwa uzoefu wangu msingi wa ghorofa moja ya makazi,kwa ramani ya 12m by 14m,hugharimu kuanzia 20-30M

~Kwa issue ya aina ya kiwanja.
Kama kiwanja chako kipo miliman au kwenye kilima.Ushauri wangu ni kwamba usijenge kiti kirefu mpaka usawa wa kilima kwaajili ya kujenga sehemu ya juu.Unachoweza kufanya ni kwamba sehemu ya chini unaweza kujenga 'basement' kama mbadala wa kujenga kiti kirefu kisicho na maana.'basement' hii waweza kutumia kama vyumba,au parking.

~Kwa issue ya nondo za jengo zima la ghorofa moja,kwa Uzoefu wangu andaa 32-35Mil.Nondo utakazotumia ni za
mm16,mm12,na mm8.bila kusahau binding wires kwaajili ya kufungia nondo.

~Bajeti ya nyumba za ghorofa moja ya makazi ni zaidi ya Mil 100.KUMBUKA:Hii inategemea aina ya ramani,Finishing,Gharama za ufundi eneo husika,Upatikanajj wa material ikiambatana na kubadilikabadilika kwa gharama sokoni,na Usimamizi sahihi usioambatana na 'upigaji'.

Nawasilisha
Unapatikana wapi?kwa ushauri wa kitaalam
 
Ubarikiwe sana ushauri makini

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom