Msaada wa tyre nzuri za gari na bei nafuu

Kaka nenda Yana tyre vingunguti, nilinunua tyre 4 175 rim size 13 za saloon yangu, kwa around 140 each jamaa hawana longolongo, unapigwa warranty 2 yrs ikivimba au ujinga wowote unabadilishiwa, na jamaa ni uhakika maana toka enzi za wazaz wangu wanatumia tyre zao na hawajawai kulalamika, so kwa size yako ya tyre r15 nazan itakuwa kwenye @160 but hautalalamika vipancha vya kijinga na hata kwenda shamba au mkoa hautapata mawazo,

Pia nashauri goodyear nyerere road nao wanauza bei nzuri around @150 na ukinunua tyre 3 la nne unapewa bure we unalipia vat yake tu,

Also kama gari yako ni ndogo na ni mtu wa kwenye lami tu, I mean we ni ofisin then nyumban, usijipe presha nunua cheap tyre tu kama goodride, westlake, doublestar, GT champiro and so on, ambazo ni around 80,000 each na utatumia hata 3 years kama hauna mizunguko mingi...
 
Back
Top Bottom